Wapi chereko chereko za party?

Wapi chereko chereko za party?

Akanana Munkari, punguza munkari kwanza
 
Last edited by a moderator:
this time naomba nifanye booking kabisa kwako ya kukaa karibu na wewe ,last time nilikuwa namuona mwekundu anafaidi sana

ha ha ha kumbe karoho kalikuwa kanaenda mbioo eeh!! Hehee! Usijali this tym utakuwa ubavuni kabisaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom