Wapi bar zenye gesti Manzese

Wapi bar zenye gesti Manzese

Kumbe kuna mawakala wa shetani humu! Naondoka
 
...Uwanja wa fisi' utapata kila hitaji lako, au kwa mfunga mbwa..., hiyo mambo inapatikana kwa bei nafuu!

Hapo uwanja wa fisi nilipata habari kulikuwa na kamchezo walikuwa wanarekodi taarifa ya habari ya saa 2 usiku, ukichukua jimama km umeingia usiku upige fasta fasta ukiulizia saa wao wanakufungulia redio hata km saa 7 usiku utajua saa 2. Na wengine walikuwa wanarekodi vipindi vya majira vya saa 3 enzi zile Radio Tanzania. Wente kumbukumbu matukio haya bado yapo au yashaisha?
 
Zip kibao unapata huduma zote pombe ,mimama na ukimwi
 
Back
Top Bottom