Jamaa alikuwa kila mwaka anatoa hit kama mbili zinahit kisawasawa.
Naona mambo now yamebadilika anayekimbiza pande hizo kwa sasa ni edy kenzo.
Nilipenda sana album yake ya kwanza pia na nyimbo zake nyingine kama acha kulia shida za dunia na track kibao.
Nakumbika bushoke alienda uganda miaka hiyo akawa anashangaa jamaa akipita mtaani watu wanatoka madukan wanamfuata kama diamond inavyokuwa kwa sasa