Labda unapoanda mazingira ya kutongoza unapaka make up, baada ya hapo wakikuona wanakuta thura imedheeka wanapata shock.
Labda una sura na sauti kali....unafanya kazi gani?
jiunge na polisi kama bado unasoma
tatizo swaga zako zakizee
Labda unapoanda mazingira ya kutongoza unapaka make up, baada ya hapo wakikuona wanakuta thura imedheeka wanapata shock.
usishangae hata kwenye huu uzi wako mabinti wataoogopa kukoment
Mkuu unatongoza vitoto vya primary nn??
sina uhakika na wasiwasi wenu kwasababu lingekwa ni swala la sura wasingekuwa wanadata na mimi kwasababu sijawai kuachwa katika historia yangu ya mapenzi na huwa nikiamua kuacha wanapata shida sana
Tongoza mabinti wa rika lako...
hapana ni vya secondary mkuu