[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Ninachofahamu ni kuwa wanasaidiana lakini kwa mfano mimi ni mweka hazina wa Women Forum kwa uaminifu ninaweza kumkopesha mpenzi wangu kwa makubaliano atazilipa muda gani. Ajue kua na mimi nimeaminiwa na pesa ya watu.
Dhh!!! Aiseee mkuu binadamNinachofahamu ni kuwa wanasaidiana lakini kwa mfano mimi ni mweka hazina wa Women Forum kwa uaminifu ninaweza kumkopesha mpenzi wangu kwa makubaliano atazilipa muda gani. Ajue kua na mimi nimeaminiwa na pesa ya watu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Dhh!!! Aiseee mkuu binadam
Hubadilika wakat wwt n kama
Kinyonga kila akipga hatua
Color hua anachange
Bora tu ukamtolee zako mwenyw
Kwa bank maana hata hutakua
Na,was was
Lakin hzo za wenyw dhuuuu!!
Hyo n pressure unakua unajitaftia
Pole paprika kwa kuachana kisa mkopoInatengemea na uimara wa uhusiano wenu, kiwango uaminifu mlionao. Kama humuamini mwenza wako kwenye masuala ya pesa ni bora msikopeshane.
Huko nyuma nilipewa hela nyumbani kununua sofware fulani... Mpenzi akakwama kwenye biashara zake, akaomba nimkopeshe hela. Kujifanya najua kupenda nikamkopesha. Aisee alinipiga kiswahili na hela sikurudishiwa hadi baada ya miezi. Nikashindwa muamini kwa jambo lolote lile na tukaachana.
Bora kama una hela mpeane tu kama zawadi ila sio kukopeshana. Mi saivi sikopeshi mpenzi...
Kama nimekupata hivii
Chukua hii [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Paprika unaishi humu nn? Mana kila uzi unapoanza nakuona nakuonaInatengemea na uimara wa uhusiano wenu, kiwango uaminifu mlionao. Kama humuamini mwenza wako kwenye masuala ya pesa ni bora msikopeshane.
Huko nyuma nilipewa hela nyumbani kununua sofware fulani... Mpenzi akakwama kwenye biashara zake, akaomba nimkopeshe hela. Kujifanya najua kupenda nikamkopesha. Aisee alinipiga kiswahili na hela sikurudishiwa hadi baada ya miezi. Nikashindwa muamini kwa jambo lolote lile na tukaachana.
Bora kama una hela mpeane tu kama zawadi ila sio kukopeshana. Mi saivi sikopeshi mpenzi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] saivi niko free sana mkuu!!! Kuna project naifuatilia ikitiki ntapotea.Paprika unaishi humu nn? Mana kila uzi unapoanza nakuona nakuona