Wapenzi walioishi muda mrefu katika mahusiano yao...

Wapenzi walioishi muda mrefu katika mahusiano yao...

Kabisa mkuu, ila vipo vyuma vinajituma balaa
Achana na wale wanaonunua t shirt mbili wanatangaza insta mzigo umeingia

Wamejua siku hz wanaume wanapenda wanaojituma sema mkuu umewastukia tu....they failed you
 
Ile bby mama fulani kashusha madera mapya alafu bei yake ndogo kweli tena anakopesha mwezi mzima
 
Mabinti wengi wa kisasa wao wanapenda wakute mambo mazuri mnabadilisha viwanja tu leo Elements kesho Governor keshokutwa Rudys.


Hakupi hata mawazo ya kuzitafuta hizo pesa na hata ukimpa mtaji wa biashara yeye anaenda kununua peruvian hair
Mi nafikiri hilo linakuwa kosa lako ktk uchaguzi, kwa maana wapo wanaoweza tu vzr. So cha kuangalia hapo ni nini unatafuta na kwa nani
 
Mabinti wengi wa kisasa wao wanapenda wakute mambo mazuri mnabadilisha viwanja tu leo Elements kesho Governor keshokutwa Rudys.


Hakupi hata mawazo ya kuzitafuta hizo pesa na hata ukimpa mtaji wa biashara yeye anaenda kununua peruvian hair
Kwa sbb unawataka wa style hiyo..so utawapata tu
 
Back
Top Bottom