Wapenzi walioishi muda mrefu katika mahusiano yao...

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,625
Reaction score
38,751
Usiangalie muda walioishi tuuu
Angalia je wamefanya maendeleo gani....mpaka sasa walipofikia ...ukiona wako vile vile yaani stuli ile ile ...ujue hao wanapotezeana muda....
Au wanaishi ili Fulani wawaone wako pamoja
Wenzenu waliopo kwenye mahusiano yaliyopevuka(matured relationship) wanasaidiana kutafuta pesa pamoja ili ku-win financial freedom ktk uchumi huu mgumu.
Wewe na mpenzi wako mpaka leo hii mnabishana nani aanze kum-text mwenzake jua kunatatizo pahala.

Mapenzi yanaendana na maendeleo....
Fanyeni maendeleo .....
Sio kuzaa tuuu au kuishi tuu kwa fashion

Hili sio jiwe gizanii
 
Kuna mpenzi wa kuzaa nae na kuna mpenzi wa kufanya nae maendeleo siyo kila mpenzi anafaa kufanya nae maendeleo wapenzi wengine ukiwashirikisha deal zako zote zinabuma dadeki wamezaliwa na vimavi.
 
Mabinti wengi wa kisasa wao wanapenda wakute mambo mazuri mnabadilisha viwanja tu leo Elements kesho Governor keshokutwa Rudys.

Hakupi hata mawazo ya kuzitafuta hizo pesa na hata ukimpa mtaji wa biashara yeye anaenda kununua peruvian hair
 
Kabisa mkuu, ila vipo vyuma vinajituma balaa
Achana na wale wanaonunua t shirt mbili wanatangaza insta mzigo umeingia
 
Mabinti wengi wa kisasa wao wanapenda wakute mambo mazuri mnabadilisha viwanja tu leo Elements kesho Governor keshokutwa Rudys.

Hakupi hata mawazo ya kuzitafuta hizo pesa na hata ukimpa mtaji wa biashara yeye anaenda kununua peruvian hair
Waoaji tupo mikoani huko tumewatuma waje kusafisha macho kidogo na kuwafundisha matumizi ya pesa wavuvi!!

Mwanamke wa mkoani ni sawa na mwanaume wa Dar
 
Watake radhi mkuu wakija hapa utaikimbia id
 
Back
Top Bottom