Wapenzi walioishi muda mrefu katika mahusiano yao...

Wapenzi walioishi muda mrefu katika mahusiano yao...

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa sauti ya magu
[emoji23][emoji23] haswaa

Nilishatokaga katika ulimwengu wa kujenga kiwanda pamoja kwenye mahusiano

Labda Mungu anioteshe kua huyu ndio Mume na Baba watoto Wangu...na bado nitalifikiria ilo
 
Mabinti wengi wa kisasa wao wanapenda wakute mambo mazuri mnabadilisha viwanja tu leo Elements kesho Governor keshokutwa Rudys.


Hakupi hata mawazo ya kuzitafuta hizo pesa na hata ukimpa mtaji wa biashara yeye anaenda kununua peruvian hair
Kupendeza kwanza mengine baadae
 
Baby mi na wewe tuko kundi lipo? lile gauni mbona huninunulii sasa? Na ile nywele
 
Hiyo ni kawaida kwasababu unazaliwa unasoma unafanya kazi unaoa unakufa ila hali ni tofauti kidogo kwa wanaume wa dar kwenye kuoa mnaolewa na wanawake

Mwanaume kujiua kwa sababu ya mwanamke ni kawaida?!

Kweli wanaume wa mikoani ni dhaifu sana
 
[emoji23][emoji23] haswaa

Nilishatokaga katika ulimwengu wa kujenga kiwanda pamoja kwenye mahusiano

Labda Mungu anioteshe kua huyu ndio Mume na Baba watoto Wangu...na bado nitalifikiria ilo
Pole sana inauma sna lakin lazima ujaribu huku na huko, siunajua more practice make perfect?
 
Hiyo haiapply kwangu

Wenye mioyo ya kufanya maendeleo na wapenzi wao wafanye tu kwakweli
Alichokufanya huyo jamaa inaonekana hayaelezeki...pole sana yna wa angelo
 
Back
Top Bottom