Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Wednesday

Aunt anamlazimisha ofentse akaongee na angie ili waweke mambo sawa maana hali waliyokua nayo duncan ni ya hasira.ofentse anasema yupo busy kuandaa nyaraka za kuonyesha sechaba muongo kwa alichokiona kwenye laptop ya ofentse ila aunt anamtaka akaongee kwanza na angie

Hendrik anamwambia mkewe sababu ya kumruhusu wendy aendelee kuishi hapo ni kuwa anja kafaulu test ya hesabu na kumtaka asiwaambie anja au wendy ili waendelee kufundishana kwa bidii

Thabang anaenda hostel na kuongea na matlala akimtaka asimwambie mtu kuhusu yeye na kwamba anataka gatanga asikie habar hizo kipitia yeye thabang,matlala anasema sawa ila wachimbaji wenzie tayar wanafahamu

Aunt anaenda home kwa sechaba na kuwaalika waende anapoishi na ofentse ili jamaa ajieleze vizuri kwa kile alichokiona sechaba

Wendy na dada ake wanaongea mambo mbalimbali hasa wendy kutafuta kazi bila mafanikio

Uncle na lerato wakiwa tayar kwenda kwa ofentse wanamtaka sechaba waende wote ila sechaba anakataa na kuwataka waende tu yeye anakazi nyingi hapo alipo. Uncle na lerato wanaondoka

Thabang akiwa anafua viatu vyake akiwa kifua waz geto huku hajafunga mlango wadada wanapita na kuchekelea kuona kifua cha thabang,gatanga anawakuta na kufurahia hali hio kisha anaongelea masuala ya thabang akipata kazi atunze mahari ya kuoa maana yeye gatanga anahitaji kucheza na wajukuu. Thabang hafurahii mada hiyo

Sechaba akiwa na kikao duncan na rajesh wakiongelea masuala ya kazi ila sechaba mawazo hayapo hapo muda wote anaangalia saa na simu rajesh anagundua na kumuuliza kama anamiad sehem sechaba anamwambia ana kikao cha kifamilia muda huo,rajesh anamruhusu aondoke wataongea siku nyingine

Sechaba anaingia kwa ofentse anawakuta bado hawaanza kikao anakaa kwenye kochi ofentse anaanza ongea na kusema kuwa alichokiona sechaba alikitafsiri vibaya ukweli ni kuwa kaingia ubia na bwana mayonda(jina sijakariri)na kuwa wamesain mkataba wa miaka 99 kujenga maili ambayo itanufaisha vizazi na vizaz vya molol,sechaba hakubalian na wazo hilo na kusema alichokiona sio anachokiongea ofentse ila uncle anaonyesha kakubaliana na ofentse

Hendrk akiwa sebulen kwake na anja anampa ushaur binti ake kuhusu masomo

Sechaba akiagiza msosi the rec ofentse anatokea na kuanza mdhihaki sechaba kwa maneno maneno kuhusu ardhi

Thabang akiwa na sibiya na matlala shebeen anawapa ushaur kuhusu wanawake na mahusiano huku sibiya na matlala wakimshangaa kafahamu aje tabia za wanawake,thabang anasema ni rafiki zake na huwa wanamuambia kila kitu

Home kwa sechaba,uncle anamshaur sechaba kukubaliana na wazo la ofentse ila sechaba hakubali na kumwambia uncle siku mambo yakimdodea asimtafute maana hamuamin ofentse na mipango yake
 
Thursday

Sechaba akiwa home kwake anamwambia lerato kuwa mpango wa ofentse ni uongo mtupu ila lerato haubalian nae . sechaba anasema huo mkataba wa miaka 99 sio kabisa ila hakubalian nae na kusema mkataba utanufaisha molol,uncle anatokea na kumuunga mkono lerato.sechaba hakubalian nao,uncle anamtaka sechaba asahau tofaut zao na kuunga mkono wazo la ofentse. Huku akisema mpango huo utanufaisha familia nzima na kumtaka sechaba akubaliane na wakubwa

Wendy anaenda ofisin kwa hendrik na kumlipa pesa awamu ya kwanza ambazo hendrik anamdai kisha wendy anasema ataendelea kumfundisha anja

Sechaba anamuomba radhi lerato kwa kumfokea asubuh,kisha sechaba anamtaka lerato amuamin yeye na kuwa upande wake badala ya kumsapot ofentse huku akimshangaa kubadilika maana mwanzon alitaka wakubali ofa ya barker saiv anakubali ofa ya ofentse

Wendy anaingia sebulen na kumkuta dada ake akikunja nguo na kumuuliza lini hendrik alicheka,kisha anampa wazo la kwenda date na hendrik

Ofentse na mama ake wakiwa duncan wakifurahia kwa mafanikio ya kuwashawishi molol mpaka kuwaamin,angie anaingia na myeja wake hapo,wanamuita kisha ofentse kwa kulazimishwa na mama ake anamuomba angie msamaha

Matlala anaingia shebeen na kupewa ofa ya bure na nina anayemtaka matlala amuitie thabang ofisin kwake

Sechaba akiwa sebulen busy na laptop,lerato anamuongelesha ila sechaba anamkaushia

Wendy busy akimfundisha anja hesabu

Sechaba yupo shebeen nina anatokea na kumuambia kuna tetesi kuwa masuala ya ardhi yapo mahakamani,kisha nina anamkumbusha matlala kuhusu kumuitia thabang,baada ya nina kuondoka,sechaba anamwambia matlala kuhusu mpango wa ofentse ambao hakubalian nao.mara simu inaita na mpigaji ni ofentse

Hendrik anamruhusu wendy kuishi hapo nyumban ila kwa mashart na akivunja hata moja anafukuzwa hapo

Sechaba anaenda kwa ofentse ambae kamuita,ofentse kamuita na kumwambia wakubwa wamempa uongozi hivyo sechaba akubaliane nae wanabishana hapo mwishowe sechaba anamkumbusha ofentse kuhusu baba ake,ofentse anamfukuza

Thabang anaenda shebeen na kumuulizia matlala kwa charlie,kisha nina anatokea na kuongea nae kidogo,thabang anatoa sababu na kuondoka

Sechaba anaenda duncan ambapo kaitwa na barker anaejaribu kumpeleleza sechaba na kuona kama anakubaliana na uongoz wa ofentse kisha anampa ofa ya kumdondosha ofentse.sechaba anamwambia acheze plan yake mwe yewe. Na kisha anamtaka waungane wamdondoshe ofentse kama timu
 
Friday

Lerato anajaribu kumbembeleza sechaba waweke uhusiani wao sawa ila sechaba hampi nafasi ya kujieleza na kuondoka,uncle a atokea na kumpa moyo kuwa ni masuala ya ndoa na watapatana tu

Lalage anamwambia wendy kuwa anaandaa usiku maalum kwa ajili yake na hendrik

Matlala anaenda geto na kuongea na thabang kuhusu nina. Na kumtaka thabang asiichezee bahati kwa kumkataa nina

Barker anapelekewa ripot na mwanasheria wake kuwa ofentse kafungua kesi kudai ardhi ya Duncan na maeneo mengine hapo huku barker akipanga kuhakikisha sechaba yupo upande wake maana hataki(barker) kesi ifike mahakaman

Uncle yupo kwa ofentse akiongea na aunt kuhusu masuala ya ardhi na kuwataka waifatilie kesi vizuri na kuwataka wafanye kazi na sechaba

Nina anaingia shebeen na kukutawateja wachache na kumtaka charlie atoe ofa itakayowajaza wateja,thabang anatokea na kuagiza kinywaji na kumpa wazo nina jinsi ya kuijaza shebeen

Sechaba yupo duncan akiongea na rajesh na kumwambia kuwa watu anaowaamin wamemsaliti huku mtu asiyemuamin kampa ofa kubwa hapo yupo njia panda afanye nini. Rajesh anampa ushaur asiende upande wa adui bali afanye maamuzi sahihi

Wendy na dada ake wapo wakiongelea kuhusu kutumia muda pamoja na hendrik

Sechaba anaenda kwa barker na kuikataa ofa yake na kumtaka barker ampigie simu ofenyse waelewane nae sio yeye

Nina anamuita thabang ofisin kwake na kumwambia waongelee ofa,thabang anatoa shart lake ila nina anasema waende taratibu kimaongezi,wakiwa wanaongea nina anaonyesha dalili za kumtaka thabang

Barker anamuita mwanasheria wake na kumuambia molol wanataka kujenga mail hapo na kutaka kufahamu kama wanaweza zuia jambo hilo. Jamaa anasema haiwezekan mpaka suala la ardhi lishughulikiwe na wataenda muhoji barker pia,barker anachukia suala litachukua muda mrefu.mwanasheria anamtaka barker ajiweke sawa kuandaa mashahidi

Hendrik anarud kwake na kukuta sebule tofaut pamepambwa na mishumaa huku mke akiwa kavaa kagaun kepesi,mkewe anamwambia ni usiku wao,anja na wendy wameenda kuangalia movie

Sechaba anamsindikiza uncle ila wakiwa sebulen ofentse anatokea na kusema uncle kamuita,sechaba hafurahishwi,uncle anawataka waweke tofaut zao pemben wafanye kazi pamoja kuipata ardhi ila sechaba anasema keshajitoa kwenye suala hilo hivyo haimuhusu na kumtaka ofentse amchukue uncle wake maana hiyo ni nyumba ya matabane sio molol. Ofentse anatabasamu
 
Monday

Sechaba na lerato wanaongea,sechaba anamwambia lerato kuwa hapiganii tena ardhi na kumtaka lerato ampe sapoti kama patna wake,lerato anamwambia anamsapoti ila nae ana uhuru wa kutia maoni na mawazo yake

Thabang yupo the rec akigawa karatasi za kuipromot shebeen.matlala anaingia na kumuuliza kama kaajiriwa na nina.thabang anasema wanafanya kazi pamoja,matlala haamin na kumshauri thabang alale na nina ili wawe partner kibiashara. Kgotha anatokea,thabang anampa karatas la promo kgotha anamuuliza nani kampa ruhusa ya kufanya hivyo kwenye biashara yake na kumtaka aondoke,matlala anasema kamwambia ila jamaa hajamsikiliza. Thabang anamuita matlala yuda

Wendy anajaribu kumuuliza dada ake jambo ila hendrik anatokea na kuagana na mkewe kwa makiss,baada ya hendrik kuondoka mtu na dada ake wanapiga story

Kgotha akiwa na sechaba duncan,anampa news kuwa watafanya nae kazi.sechaba anafurahi kupata nafasi ya kuiongoza sebeza nawe

Kgotha anamkuta nina the rec na kumtaka aache kujaribu kumuibia wateja,nina anamwambia ana wateja wake na pia gabr atafurahia akijua kgotha anamtunzia biashara vizuri

Anja anamuonyesha wendy vazi la kwenye sherehe ila wendy anamtaka wasome kwanza ili apate ruhusa ya kwenda kwenye sherehe

Ofentse anamkuta lerato akipata supu the rec na kuongea nae akimtaka amuunge mkono ila lerato anamuunga mkono sechaba,sechaba anaingia the rec na kuwaona bila kuelewa wakiongeacho anaondoka.

Sechaba akiwa anakunywa bia shebeen,nina anatokea na kumshangaa,sechaba anamuuliza kama hataki wateja hapo ila nina anasema sio kwa hali aliyonayo na kujaribu kumuuliza tatizo ila sechaba anamtaka aondoke,matlala anatokea na kuuliza nani kafa ila sechaba anasema anasherehekea ila nina anamharibia mood,nina anamuuliza lerato alipo,sechaba anajibu yupo busy na vitu vingine, na kumtaka aondoke,sechaba anamwambia matlala kuhusu lerato kuwa na ofentse the rec. Matlala anajaribu kumtetea lerato,sechaba anamaind,matlala anasema washerehekee na kuagiza bia

Anja anamuonyesha hendrik picha ya vazi analotaka kulivaa kwenye sherehe ila hendrik anamtaka afaulu kwanza mitihan

Sechaba na matlala wakiwa wanakunywa pombe shebeen sechaba anamwambia kuhusu wazo la ofentse la mail na kile alichokiona kwwnye laptop na kusema ofentse ameichezea akili familia na ikamuamin matlala anasema mpaka asikie story ya upande wa pili ndo aelewe kisa chote,na kumtaka sechaba asahau kuhusu suala la ofentse na ardhi ashughulikie ndoa yake

Sechaba anarud home,lerato anamwambia kampigia simu kumuuliza atakula nini,sechaba anamjibu kifup,lerato analalamika kuwa waliongea asubuh yakaisha mbona amerud kwwnye mood mbaya,sechaba anamwambia alimuona the rec na ofentse,na kuwa alienda kumsifia,sechaba anamlaum lerato kwa kuwa upande wa ofentse,lerato anajitetea na kukasirika kwa kuonekana msaliti

Ofisin nina na thabang wakiongelea biashara,nina anamuuliza thabang kama anaweza mletea wateja wa the rec,thabang anakubali na kuuliza kama wana dili rasmi ila nina anaonyesha kumtaka thabang,thabang anakataa na kumwambia yeye ni gay,nina anashangaa

Lerato akiwa chumban kakasirika,sechaba anaingia na kumwambia msosi tayr amemalizia kupika na kumtaka lerato wakaongee mezan wakiwa wanakula,lerato anasema hana njaa

Hendrik akiwa na familia yake wakifurahia jambo sebulen. Mlango unagongwa anaingia afisa gereza akimuulizia wendy na kwamba wendy kaonyesha kuvunja sheria za msamaha maana hawampati penthouse na kuuliza kama kuna tatizo
 
Thnx bebe
 
Good job Numbisa
 
Back
Top Bottom