Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Ubarikiwe sana numbisa sipati time kabisa ya kucheki hii kitu ila kupitia wewe naona kama nipo studio za ITV kabisa
 
Gabriel baada ya kuona kilichopo shaft 8 anatoka mgodin na kuwapigia simu polis(anonymous) kumbe morogwa anamsikiliza bila yeye kufahamu

Lerato anaenda kupromote biashara mpya ya mikopo shebeen,wanagongana na sechaba hapo,sechaba hajapendezwa na biashara mpya ya lerato

Calvin anakuja na wazo la kuitumia media ili kumpunguzia adhabu au ikiwezekana kumtoa kifungon dannie. Calvin anafanya hivyo ili dannie arudishe uaminifu kwake

Eddie na polisi wengine wanaenda shaft 8 na kuwakamata vijana wa gabriel na kuchukua mabaki ya mwili uliotelekezwa humo

Nikiwe anapanic baada ya kusikia kuna mifupa ya binadamu imekutwa shaft 8. Linc anapata wasiwasi

isidingo iliyorukwa,according to trailers
 
News za mifupa ya binadam kupatikana SG zipo front page za magazine's, mke wa tyson anamuuliza jamaa kama hicho ndicho alichokua anakifapanga na gabr,na kumtaka kuwa makin na gabr maana haaminiki ila tyson hana wasi wasi na gabr.mara simu inaita kisha anapokea onyo toka kwa mtu aliyepewa kaz chafu na tyson.

Eddie anamhoji mtuhumiwa mmoja waliyemkuta shaft 8 na kumtaka awaambie boss wao aliyewatuma huko chini ila jamaa mkaidi anagoma kujibu

Nikiwe anapanic na kugoma kwenda kazin kwa kuhofia aibu ya kupatikana kwa mifupa ya binadamu SG. Linc ana act strong na kumtaka aende kazin ila nikiwe anagoma

Eddie anapeleka report kwa angie(kumsaidia tu)kuhusu dannie ila anawalaumu kwa kuitisha press conference maana itachafua hadhi ya polisi na kuwataka wakae mbali nae maana hawana ushirikiano mzuri.calvin anatetea wazo ila angie anaona wazo litamuweka pabaya zaid dannie

Eddie anaenda penthouse na kuongea na linc na nikiwe juu ya mifupa SG na kutaka kufahamu anayeongoza kampen ya zama zama kisha katika maongez anasema mwili waweza kuwa wa mchimbaji haramu au wa mtu aliyeuliwa sehemu nyingine kisha akatupwa huko shaft 8, linc nafsi inamsunta

Zukisa ,lerato na kamo wakiwa salun wanaongelea mifupa iliyopatikana SG. Mwanzon zukisa hakufahamu kitu nae akawaambia kumbe habar ndo hio maana kamwona eddie penthouse asubuh huku nikiwe akiwa na wasiwasi. Kamo anasema labda mdada mzuri aliuwawa na kutupwa humo. Mara nina anatokea na kumwonya lerato masuala ya kutangaza biashara ndani ya biashara yake yafe(shebeen)

Gabriel yupo the rec anapata kinywajinmara morogwa anatokea na kumuongelesha hukubanakohoa,gabr aanficha huku anafunika kinywaj chake kwa mkono. Bidada anamsunta gabr kwa kuwasaliti wachimbaj wake kwa polisi kisha anamwambia alimsikia wakat anawaripot wachimbaj polisi. Morogwa anamtaka gabriel afanye mpango bidada arudishwe kazin ila gabr anamtahadharisha kuwa papa g hatak kumuona bidada mjin hivyo itasababisha hatar kwao ila morogwa yupo tayar kwa lolote ila arudi kazini. Mara nikiwe anampigia simu gabriel na kumtaka amfate ofisin kwake. Morogwa anakohoa sana,gabr anamuuliza kama ana ebola na kumtaka aende hosp

Mkutano wa angie,dannie(akiwa na mavaz ya jela)na waandishi unaanza kwa angie kuweka nice speech bila kulaum polisi kisha dannie anaanza kuongea huku akidanganya story ya kuupata mzigo wa madawa,waandish wanamuuliza aliyemtuma ni nan kabla hajajibu anatokea babu yake dannie(baba wa angie)na kujibu inabid angie amtambulishe baba yake kwa waandishi,(dannie anafurah babu yake kuwepo)babu mtu anawalaumu polisi kwa kuwalinda wakubwa wanaobebesha watu madawa bila wao kukamatwa. Eddie anamwangalia angie kwa msunto

Nikiwe anamlaum gabr kwa kuruhusu wachimbaj haram kupenya shaft 8 maana wanamlipa na kumlaza sehemu nzuri kwa kazi ya kuzuia wachimbaj haramu ila gabr anajitetea kwamba ilimponyoka tu pia anasema ndo vizuri maana itatoa ujumbe kwa wengine wasijaribu uchimbaji haramu huko chini. Nikiwe anapanic

Calvin na angie wapo katika butwa home wakishangaa babu mtu kaibukia wapi tena mara jamaa anatokea na kuuliza kama walikua wanamuongea. Angie na baba yake wanabishana mwishowe calvin anmuelekeza duncan hptel akachukue chumba,babu mtu anasema hana pesa ziliisha njian,angie anampa pesa

Gabriel anamlaum matlala kwa upotevu wa pesa na kumtaka afanye lolote pesa zipatikane,zukisa yupo karibu anasikiliza kila kitu,matlala anapoondoka,zukisa akamfata gabr na kuuliza kulikon,gabr anamjibu alipoteza kabeg ka blue kenye pesa nying sana

Angie anamtembelea dannie selo ila bidada anamtaka babu yake kwanza na kugoma kuongea na angie

Majola amepata report ya laboratory inayomshangaza
 
1501160572031.jpg
1501160591809.jpg
 
Duh, mimi na jody haines hatuna tofauti sana,

Gogle
 
Thursday

Angie anaenda duncan hotel rum kwa baba hake na kumkuta bado anamalizia bata la usingizi,angie anamtaka baba yake aende kumtembelea dannie,baba mtu wala hajali na hana feelings za huruma kwa mjukuu wake bali anamwona kama mtu baki wa kumtumia kupata faida kwenye biashara zake. Angie anamlaum sana baba yake kwa ubinafsi na kumjulisha muda wa kwwnda kumwona dannie kituoni

Barker yupo na bodi yake ya uongozi akiwapa maelekezo ya kutovujisha taarifa yoyote ya kibiashara kwa Tatiana (mke wa tsyson)ili kutompa nafas ya kuacha kuinvest kwenye kampun ya barker

Selo,dannie yupo counter ya wafungwa kusubiria wagen wao kakaa muda mrefu akimsubiria babu yake mpaka askar wa kike akaamua kumtoa kinguvu na kumrudisha selo bila kujali utetez wa dannie

Gabriel akiwa rum kwake busy kutengeneza tai mara simu inaita ila anaikata,na mlango ukagongwa kisha bahasha kupenyezwa,kufungua mlango hamna mtu hivyo anaamua kuichukua bahasha na kukuta kuna pesa na ujumbe wa kutimiziwa ahadi kwa kazi aliyoifanya(shaft8) jamaa anafurah

Kamo na aphiwe wapo duncan counter,kamo kapendeza mpaka aphiwe anamuuliza kilichompendezesha hivyo maana hachelew kuiba boyfriend wa rafiki yake ila kamo anamwambia yupo hapo kwa ajili ya mtoto wa barker,aphiwe anauliza kama ni brad ila kamo anasema real son sio brad na kumtka aphiwe awe na subira maana amemtumia sms kijana muda si mrefu mara jody anatokea kamo anamtaka waungane hapo ila kijana anasema haiwezekan maana kuna rafiki zake juu rum hivyo anawapa ofa ya kwenda room,kamo anakubali na kusema wanamalizia vinywaji wataenda huko rum. Aphiwe anamsunta kamo na kutaka kuondoka maana anaona jody bado mtoto,ila kamo anamlazimisha waende rum kuenjoi

Lincoln anamtembelea tyson pale Duncan rum na kumuuliza ninu hasa anakitaka ila tyson anamjibu kifupi na kumtaka linc atulie maana hawez mwambia kinachofuata kwa mtu aliyemuua dada yake

Zukisa anamwambia lerato inabidi warudishe pesa walizookota maana matlala anasumbuka kwa kosa lisilo lake,lerato hakubalian na ushaur na kumtaka zukisa kama anajitoa ajitoe yeye ila lerato yupo tayr kuendelea na biashara alone.

Calvin anamtembelea selo dannie,polis wa kike anamleta dannie dirishan kwa mikiki mikiki,calvin anauliza kulikon,dannie anamwambia polisi wamechukia sababu ya ile press,calvin anamjulisha jins press ilivyosaidia na hash tag ilivyopokelewa vizuri,dannie anamuuliza calvn sababu ya babu yake kutotokea,calvin anajibu labda alikua busy,wanachit chat na kucheka

Zukisa na lerato wapo the rec wakimsubiria matlala,lerato anawasi wasi na kutaka kuondoka ila zukisa anamzuia,matlala anatokea na kuuliza walichomuitia,zukisa anamwambia alisikia maongez yake na gabriel hivyo anataka kumsaidia(zukisa kidogo aropoke kuwa wao ndo waliiookota pesa ila lerato anamkatisha)matlala anamtaka zukisa akae mbali na msala huo maana gabr ni hatar zaid wamjuavyo hasa kwenye masuala ya pesa,lerato anampa ofa matlala ya mkopo wwnye riba nafuu ili amlipe gabriel,matlala mwanzon anagoma kuwa na mpango wa kumlipa gabriel ila lerato anamkumbusha maneno yake kuwa gabr ni hatar kwenye pesa,jamaa anabak anafikiria

Rajesh anaingia ofisin kwa barker hasira tele na kumkuta brad,anamuulizia barker na kuambiwa yupo kwenye kikao na tatiana,rajesh analalamika kuhusu matumizi makali ya jody,kijana katumia oda ya karibu 60k za south,brad anashangaa.kijana kaagiza kwa ajili yake na rafiki zake wine za ukweli,misosi ya maana na pia kawalazimisha wahudum wampe chumba matawi juu. Rajesh anamtaka brad amwambie barker amcontrol kijana wake maana kijana kavuka mipaka.brad anatabasam(nadhan anakumbukia enzi zake kabla ya kusoteshwa uhudumu wa bar)

Lerato akiwa salun na zukisa analalamika kamo na aphiwe hawajaonekana salun siku hio ila zukisa anamtaka asimshirikishe kwenye masuala ya saluni na kuanza kumalaum lerato kwa kitendo cha kumwambia matlala kuhusu kumkopesha pesa badala ya kumrudishia pesa zake. Ila lerato anamwambia kurudisha ni impossible mission

Angie anaenda duncan na kumkuta baba yek counter akinywa na kimwana. Angie anakereka na kumsemea mbovu baba yake kisha anamtaka afungashe waende kuish wote. Baba mtu anakumbushia angie alipie bill ya hapo

Rum kwa jody,aphiwe na kamo wanaenjoy wine wakiwa wamekaa kitandan,aphiwe nawasi wasi kuhusu salon ila kamo anamtaka wainjoy kwanza,rum full music wadada na wakaka wanakunywa na kucheza humo kiongozi wao jody

Brad yupo mapokez akiulizia zaid kuhusu bill ya jody mara barker anatokea na furaha zake akimwambia brad hawana cha kuhofia kuhusu tatiana keshasawazisha mambo. Brad anamuuliza Barker kama keshaonana na rajesh ila bark anajibu hawajaonana wala kuongea

Brad anamwambia barker kuhusu matumuzi makali ya jody siku hio na kwamba rajesh amekasirika. Barker anashangaa na kuuliza hayo matumizi katumiaje,brad anajibu na marafiki wapo rum,barker anakereka sana.(brad anatabasam)

Rum duncan barker anaingia na brad,rafiki wa jody wote wanasepa.huku barker ana hasira ila kama kawaida Bradley anatabasamu
 
Back
Top Bottom