Mimi sipendi naonaga kama ni uswahili flani hivi....

We ka mimi nyimbo za mafumbo mafumbo tu zina wenyewe hizo
Mi bongo fleva ilikua enzi hzo asa hv taarabu mwanzo mwenga
bongo sana kiba tu
Ukiona mtu kaweka taarabu halafu we unajisikia vibaya ujue yanakuhusu, ujumbe umekuchoma...na hiyo ni moja ya kazi ya sanaa ambazo ni kuburudisha, kuelimisha na kugusaa...
Ikikugusaa jirekebisheee....!
Kuna ule naupenda anaimba mke wa mzee Yusuph sina muda wa kukudiskas unaujua unipe mashairi kidogo

Shoga angu na wewe umo eeh???
Hayo ndo mambo ya uswazi kwakweli mi hata iweje uwekwe kwa entertaiment haunigusi kabisa sembuse hao wanaowekeanaga kifumbo bongo fleva yenyewe imenikaa kushoto sana
Kuna watu wanawekaga hata hamjakosanagaa ukiwa uswahili ndio utakomaaa aiseee
Ha ha ha ni kweli aisee huwa wanapoteza mda wao bure