Wapenzi wa starehe

Wapenzi wa starehe

perico

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
15
Reaction score
2
Haya wapenzi leo alhamisi nimefungua uzi huu tutakua tunajuzana wapi kinajiri nini kwenye masuala ya starches.

Anaeona uzi haumfai aruke na kupaa kruuuu sitaki shobo wala jasho la mtu hapa.

Nashukuru kwa wadau wenzangu wa kupunguza mastress.
 
hapa kwenye ki PUB mtaani kwetu kunaHAPPEN kila siku,
 
Mimi jioni ntakuwa Buguruni pale kwenye k*ma za buku jero
 
njoo kaza moyo...kwa bob mbise...kijanaiii au filipo masanawari,ni mwendo wavijitiii na tatu chafuuu.
 
Kigogo kuna pub inaitwa palmview kuna watoto wakali toka mbulu na singida.
 
Back
Top Bottom