Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
Kama tofaliPhysical appearance sijavutiwa nayo
Kama tofaliPhysical appearance sijavutiwa nayo
We have the same ideology, nilikimbia devices za android kwa sababu ya bloatware tu na si kingine, kampuni ya HTC wameliona hilo wameanza kupunguza bloatware kwenye Sense version 7_g inayotumika kwenye htc one A9 , wamesema apps zao ambazo zilikuwa bloatware kwa sasa wataziweka play store. Na kampuni nyingine zinatakiwa kufuata nyayo za HTC alizoanzaNtaanza kununua devices za kampuni nyingine watakapo acha kuleta bloatware OS, n i hate Android bloatware devices that's why I've had dedicated my life on Nexus Google.
btw Non Removable batteries is what makes Samsung Devices Iphone,
mbona zipo simu kibao ambazo ni google play version?We have the same ideology, nilikimbia devices za android kwa sababu ya bloatware tu na si kingine, kampuni ya HTC wameliona hilo wameanza kupunguza bloatware kwenye Sense version 7_g inayotumika kwenye htc one A9 , wamesema apps zao ambazo zilikuwa bloatware kwa sasa wataziweka play store. Na kampuni nyingine zinatakiwa kufuata nyayo za HTC alizoanza
Tatizo hizi Google editions version huwa wanatoa wanapojisikia si kila simu ina version yake na mara nyingi huwa zinatolewa kwenye flagship tu, je wangapi wana uwezo wa kununua flagship pindi zinapotoka!? Au mpaka tuweke custom rom ambazo wengi wetu hawana hata ujuzi wa kuwekambona zipo simu kibao ambazo ni google play version?
-galaxy s4 google play version
![]()
na rom zake zipo unaweza eka kwenye s4 nyengine
zipo htc one zote m7 na m8, xperia z ultra, moto g etc
google pia now ameongeza bloatware zake now unakuta apps 24 toka google ni yale yale tu.
kama unataka pure android kabisa itabidi ueke AOSP
sio kujisikia tatizo hazina wateja, even mimi naprefer touchwiz over stock sababu vitu vingi vya watu wa kawaida havipo kwenye stock. mfano mzuri ni uwezo wa kueka 3g/2g only haina ina 3g/2g preffered hivyo ukiwa sehemu kuna 3g signal ndogo unaanza kupata shida.Tatizo hizi Google editions version huwa wanatoa wanapojisikia si kila simu ina version yake na mara nyingi huwa zinatolewa kwenye flagship tu, je wangapi wana uwezo wa kununua flagship pindi zinapotoka!? Au mpaka tuweke custom rom ambazo wengi wetu hawana hata ujuzi wa kuweka
kila siku stock android inapoteza maana.
kila siku google anaongeza idadi ya bloatware, sasa hivi kitu kinachofanya watu waendelee kutumia android ya google ni playstore tu. kuna kesi mahakamani wakishinda hao watu playstore itakuwa ni app tu kama apps nyengine unaieka kwenye simu na haitahitaji package ya play service kama ilivyo sasa.Pure haiwezi poteza maana kamwe labda android ipotee kabisa, mana Google anatengeneza device zenye pure tu ambazo ni Nexus, sio kama HTC, Samsung na wengine wanaoleta device za aina moja na chache sana zenye pure android.
Na Nexus zinatumia pure android tu kwasababu Google anaogopa kupoteza wateja wake wanaochukua pure android nakuimodifie mana akileta tu modified android atasababisha kucompete na kampuni kama samsung zenye OS zao kabisa na kampuni nyingine nyingi.
Hivyo upotevu maana wa pure android ni mdogo saana,
Subilia iPhone 7 inasemekana nyembamba sanaKama tofali