JITU LA MIRABA MINNE JF-Expert Member Mar 28, 2015 726 471 Jun 27, 2017 #1 Hakika katika sabuni bora ambayo kwa kweli toka najitambua miaka ya 96 hizi ndio sabuni zilizotulea je wewe umeshawahi kutumia?na vp unahistoria nayo gani? mm kipindi kile ndio ilikua mbadala wa pafyumu unaoga zako mtoni unajitandika na GIV au AYU
Hakika katika sabuni bora ambayo kwa kweli toka najitambua miaka ya 96 hizi ndio sabuni zilizotulea je wewe umeshawahi kutumia?na vp unahistoria nayo gani? mm kipindi kile ndio ilikua mbadala wa pafyumu unaoga zako mtoni unajitandika na GIV au AYU
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,021 Jun 27, 2017 #2 Hizi sabuni ni bidhaa halali zinazopendwa na wale CHAPUTA
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 37,212 85,332 Jun 27, 2017 #3 Napata tafsiri ngumu sana kama mwanaume eti anaisifia sabuni ilio mlea...... Ebu ngoja niache mawazo mabaya na niwe msomaji tu, maana tayari akiliyangu imesha waza mengine kabsaaaaaaaa.......
Napata tafsiri ngumu sana kama mwanaume eti anaisifia sabuni ilio mlea...... Ebu ngoja niache mawazo mabaya na niwe msomaji tu, maana tayari akiliyangu imesha waza mengine kabsaaaaaaaa.......
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 37,212 85,332 Jun 27, 2017 #5 Mkushi wa kusi said: Daaa Click to expand... Weunaikumbuka sabuni gani....
Mr.Junior JF-Expert Member Sep 8, 2013 11,773 9,967 Jun 27, 2017 #6 Sisi wengine tulikuwa tunaogea Mbuni ila siku akija mgeni ndio ananunuliwa AYU.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,991 69,385 Jun 27, 2017 #7 Sabuni inakuleaje?? Hizo zilikuwa za kuogea tu, sio za kulea watoto. Kipindi kile nakumbuka tulikuwa tunatumia sabuni aina ya Kanga, Mbuni na Komoa kufulia
Sabuni inakuleaje?? Hizo zilikuwa za kuogea tu, sio za kulea watoto. Kipindi kile nakumbuka tulikuwa tunatumia sabuni aina ya Kanga, Mbuni na Komoa kufulia
G g4cool JF-Expert Member Oct 18, 2012 428 200 Jun 27, 2017 #8 AYU ilikuwa na kaharufu flan hvi na vile ilivyopinda mgongo ilikuwa safi sana kwenye CHAPUTA
URBAN MONKEY JF-Expert Member Jun 4, 2017 720 1,327 Jun 27, 2017 #9 g4cool said: AYU ilikuwa na kaharufu flan hvi na vile ilivyopinda mgongo ilikuwa safi sana kwenye CHAPUTA Click to expand... haahhaa umenifurahisha mno ilivyopinda mgongo sio
g4cool said: AYU ilikuwa na kaharufu flan hvi na vile ilivyopinda mgongo ilikuwa safi sana kwenye CHAPUTA Click to expand... haahhaa umenifurahisha mno ilivyopinda mgongo sio
munchamuja JF-Expert Member Feb 4, 2015 350 881 Jun 27, 2017 #11 Na mafuta ya kujipaka ilikuwa SHANTI
Mother Confessor JF-Expert Member Jan 7, 2016 18,596 45,225 Jun 27, 2017 #12 Hapa ni mwendo wa kukumbushana tuu sabuni za members wa chaputa.
Mehek JF-Expert Member Feb 26, 2017 7,474 10,418 Jun 29, 2017 #19 kisu cha ngariba said: Majani ya mapapai. Click to expand... yeuwiii ndiyo mliyokuwa mnayaoga;..
The Businessman JF-Expert Member Jan 9, 2014 7,404 9,234 Jun 29, 2017 #20 Sisi tulikuwa tunatumia sabuni moja tu Mbuni, Hiyo hiyo tunafulia, tunaogea na kuoshea vyombo.