Wapenzi wa sabuni ya AYU na GIV hv sabuni zilizotuleaga hadi sasa zimefikisha miaka mingapi?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
471
Hakika katika sabuni bora ambayo kwa kweli toka najitambua miaka ya 96 hizi ndio sabuni zilizotulea je wewe umeshawahi kutumia?na vp unahistoria nayo gani?
mm kipindi kile ndio ilikua mbadala wa pafyumu unaoga zako mtoni unajitandika na GIV au AYU
 
Napata tafsiri ngumu sana kama mwanaume eti anaisifia sabuni ilio mlea......
Ebu ngoja niache mawazo mabaya na niwe msomaji tu, maana tayari akiliyangu imesha waza mengine kabsaaaaaaaa.......
 
AYU ilikuwa na kaharufu flan hvi na vile ilivyopinda mgongo ilikuwa safi sana kwenye CHAPUTA
 
Screenshot_2017-06-28-00-16-23.jpg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom