Aisee nimeanza jion hii haya mazoezi nimepiga push-up 60 kwa mafungu ya kumi kumi na squats nimepiga 60 hvyo hvyo kwa mafungu ya kumi kumi hapa najiona baunsa kifuani hope na kitambi kitaishia
Leo siku ya nne ya zoez ila naona push-up zinazid kupungua saiz siend zaid ya kumi kwa awamu moja na hii kitu squart naona kama n kwa wadada tuu mana naona Kuna kitu kama baba au mwanaume naona itaniathiri
Push up nzuri unatakiwa upige deep na taratibu , unashuka chini unatulia halafu unapanda unatulia , ukipiga push up namna hii kwa set utaona matokeo mazuri Sana.