Wapenzi wa push-ups & squats

Nyie ndiyo wale wale wazee wa nadharia kuliko vitendo wazee wa details lakini hamna kitu, sijakataa kama chuma hakijengi kifua ni upigaji na namna unavyoseti kimo chako wakati unapiga,

Ila push ups ni best zaidi ila kwa kuwa unaleta usomi mwingi sana kwenye vyuma huwezi chukua mawazo ya mwenzako unayaona yako ni bora zaidi, halafu pia uwe na adabu unamzuiaje mtu kuchangia hoja zake kuna vijamaa mna akili za kitoto kweli
 
Nadharia ninafanya Gym Workout toka Form Two unaniambia naongea nadharia navyoandika nina Home Gym sema nimeStay kwa muda mrefu kwasababu mblimbali.

Nakuandikia kilichopo

Fanya hivi Chukua ndugu wawili Identical Twins waliofanna kilakitu hasa Body weight na posture mmoja mpeleke afanye Free Weight Na mmoja Body Weight then waangalie baada ya mwezi mmoja au miwili utakuja kuniambia.
 
Weka picha tuone
 
Sema mimi mwenyewe napendaga kucheza sana push up ,lakin nikijisikia kujaza mwili kidogo na kuukata naingiaga gym kama wiki 2 tu ivi nakuwa kama nilivotaka, chuma ukiijulia sio ya kufananisha na vitu vya kijinga
 
hapa nakupinga pia, hizo free weight zinataka position ili kupata matokeo unayoyataka. Hujawahi kupiga pushups weweee.
 
sasa hapa unaongelea uharaka wa matokeo au nini!? Jibu swali, pushups zinakata kifua au hazi?kati
 
Kila siku kabla sijaingia kwenye mitikasi yangu lazima nipige push ups ,sit ups na squarts za kushato .

Ijumaa ratiba yangu Ni jogging hadi jumapili .

Najsikia fresh sana nikifanya haya mazoezi

Na shemeji yenu anaipata pata
 
Push up ni za ziada huwa kila asubuhi napiga 25,usiku 25 jumla 40 squarts huwa ni 50 kuchangamsha.

Nipo timamu akili na mwili nisipopiga huwa sijisikii vizuri kabisa.
Yaani wewe Ni Kama Mimi tu aisee nisipopiga tizi huwa najiona mvivu nakua fyongo
 
Hata Mimi hio ndio navyofanyaga.

Nilikuwa nina kamili kembambe

Ili nilikuwa napiga tizi daily

Saizi nimeipata nyama nya mwili naoneka jitu kabeja
 
Mzee wa korokwincho kincho korokwincho
 
Mimi nilipokuwa JKT ndio nilijua mwili uko timamu kiasi gani .

Tulikuwa tunapigishwa zile chiniiiiiiii, mnakaa dakika 10 halafu juuuuuuu Kisha Tena chini

Nilitoka sugu za mikono

Mikono yangu ilikuwa inanguvu Sana duuuh ilikuwa noma halafu zile kwata ,vichurachura,kubeba tofali tano kichwani umbali wa KM3 na kulima

Nikitoka JKt Niko fit mbaya halafu najiamini kinyama
 

Unabishana na mtu ambae hana experience yoyote na gym mkuu. Kama push-ups zinakata kifua basi kina kaigreene wangekua hawaendi gym.
 
We jamaa ni mnafiki
kwahiyo push ups tano ni ndogo kweli si bora kuliko kutopiga kabisa inakata na tumbo kidogo
Mkuu kuwa serious kidogo, matokeo ya kubeba ndoo ya maji wakati wa kwenda wash room ni makubwa ukilinganisha na pushap tano kwa siku
 
Unabishana na mtu ambae hana experience yoyote na gym mkuu. Kama push-ups zinakata kifua basi kina kaigreene wangekua hawaendi gym.
Wakina Ronnie Coleman, Jay Cutter no unawajua hao ma Mr Olimpia wewe sasa ndio mkongwe nilikuwa napoteza energy kwa hawa watoto unafananisha chuma na upuuzi

kuna msemo unasema "Chuma hakiongopi”
 
Mimi waga napiga kila siku usiku,,Naanziaga 10,nakuja kupiga 9 alaf 8 then 7,,yaani nakuwa nashuka hadi 1,,Kwahyo jumla nakuwa nimepiga pushups 55,,Pamoja na Ku'squart
 
Weka kwa kiswahili mm cjaelewa nami nimuumin wa pushup nizjue hizo aina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…