Wapenzi wa movies: msaada tutani.

Wapenzi wa movies: msaada tutani.

Noel Ngiama Makanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2018
Posts
1,782
Reaction score
3,111
Leo sina mood kabisa ya kufanya chochote, nimejaribu kuangalia movies naona nashindwa. Kwa wadau wenzangu wa movies, ebu tupeane maujanja, ni movies gani huwa huwezi kufuta kwenye pc yako? Ni action movies gani ambazo ni top three kwako? Mimi napenda sana Chinese movies, sio kwa sababu ya kupigana, Ila huwa napenda sana zile storylines zao. Nakaribisha mapendekezo, maoni, na uchambuzi.
NB
Najua hii mada imeanzishwa mara nyingi Ila kwa leo twende hivyo hivyo.

Mimi some of my all time favorites ni Shawshank Redemption, Bourne trilogy, mission impossible zote, Terminator Rising of the machines, and Lord of the rings trilogy.

My Favorite Directors ni
1. Quentin Tarantino
2. Spielberg
3. Christopher Nolan

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wew mvivu unaonekana, asubhi yote hii unakimblia ma mi movie tu!

Fanya usafi kwanza!

wakati ukuta.

Ukimaliza tafuta movie ya Black horse!
 
Wew mvivu unaonekana, asubhi yote hii unakimblia ma mi movie tu!

Fanya usafi kwanza!

wakati ukuta.

Ukimaliza tafuta movie ya Black horse!

Hahahaha, nipo Japan mkuu, saa nane sasa hivi mchana.
Black horse inahusu nini? Unaweza ielezea hata kwa sentensi mbili

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahaha, nipo Japan mkuu, saa nane sasa hivi mchana.
Black horse inahusu nini? Unaweza ielezea hata kwa sentensi mbili

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kabla hujajitetea, nilitaka kukutea kwa kumuuliza huyo mtu watu amejuaje kwamba hapo ulipo ilikuwa asubuhi! Hata hivyo, ajuaaaa, kweli wewe mvivu! Ni mvivu kwa sababu single click kupitia Google ingetoa jibu la kutosha kabisa kuhusu hiyo movie inahusu nini! Kinyume chake, hapo tena umetaka utafuniwe!
 
Nimetoka kuirudia Menace || Society. Sasa hivi nairudia Godzilla ya 1998. Nitairudia Biyz n the Hood.

Kisha nitarudia Rocky zote (Ya kwanza mpaka ya tano)

Kisha nitaicheki Higher Learning.
 
Hahahaha, kweli inabidi nikubali tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimetoka kuirudia Menace || Society. Sasa hivi nairudia Godzilla ya 1998. Nitairudia Biyz n the Hood.

Kisha nitarudia Rocky zote (Ya kwanza mpaka ya tano)

Kisha nitaicheki Higher Learning.

Hiyo Menace II society niliangalia kitambo sana, nahisi kipindi hicho sijui hata Kiingereza, nafuatilia story kwa picha tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo Menace II society niliangalia kitambo sana, nahisi kipindi hicho sijui hata Kiingereza, nafuatilia story kwa picha tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bonge la dude. Niliangalia wakati nipo shule.
 
John wick 1-3
Humo zinacheza risasi kama zote
With a phukin pencil.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom