Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
inaitwa BOOTYTALK seach google utaikutaHao wapya kwangu,wamecheza movies zipi....!?
Huyu Jamaa miyeyusho kwelii huyu
HUyu jamaa napendaga Sana miyeyusho yake. Kuna movie inaitwa father of many daughtersHuyu Jamaa miyeyusho kwelii huyu
Tuwekee wakina Mercy Jonhson,Uche Jombo,Genevieve Nnaji,Omotola Jalade hawa wa kizazi chao kipya wengi hatuwajui
Jack Appiah ni Mghana sio naijaTonto Dikeh, Jackie Appiah
Mimi zangu ni zile za kishirikinaHawa ni The best Niger female Actress.
Kwa wale wapenzi wa movie za Nigeria mtakuwa mnawafahamu Kwa uzuri Hawa Wadada.
Mshana Jr DeepPond View attachment 1966619
Kuna wadau hawajakuelewa or wameamua tu kujitoa ufahamu😆😆Hawa ni The best Niger female Actress.
Kwa wale wapenzi wa movie za Nigeria mtakuwa mnawafahamu Kwa uzuri Hawa Wadada.
Mshana Jr DeepPond View attachment 1966619