ErickjrJunior
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 328
- 78
Nachojaribu Ni Kukielezea Aina Ya Lifestyle Yangu Ni Kutochanganya Hayo Mambo Kwa Wakat Mmoja..., Mapenzi Ni Muhimu Lakin Yana Mahala Pake!! Mimi Nilipokua Chuo, Nilikua Chuo Hasa Na Ninapokua Job, Ni Nipo Job Hasa!!! Siwez Chuo Humo Humo, Mapenz Humo Humo. Kwangu Mimi, Kila Kitu Kina Muda Wake!!!!No!! Nimezungumzia Chuon Na Kazini. Nadhani Unaelewa!!