BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,182
- 11,779
Nilikua nakiu ya kufika chuo kikuu na nikajaliwa nikafika.Nilihadithiwa kua chuo kikuu kuna madem wakali na unalipwa huko,nikawa nasoma kwa juhudi ili nikapaone.Chuoni Watu wanaoana na kupendana sana hadi wanazalishana.
Ila Wanawake wengi hutelekezwa na wanaume pia wanadanganywa.Jamaa yangu alipanga na dem nje ya chuo ambae alikua first year na jamaa akiwa 2 year.Jamaa Alipomaliza wakakubaliana waende na msichana kwao.
Walipofika Stand jamaa akamwambia msichana nisubiri naenda dukani.Jamaa Alitoweka kusikojulikana mana yeye alikua tayari kamaliza 3year.Dada Alipagawa na akaumia sana.Je Unayaonaje mapenzi ya shule na chuo?
Je, ni sehemu sahihi ya kua na wapenzi?Je Tunaokopeshwa na bodi unadhani wao wanakukopesha ili ukafanye ulayama huko chuo?Je Kwenu hakuna wachumba?