Wapenzi wa kweli

Wapenzi wa kweli

KRS

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
32
Reaction score
5
Sisi ni Kikundi cha Wavulana watatu ambao tumekuwa pamoja na tumesoma pamoja hadi hatua ya kuajiriwa Serikalini mmoja kati yetu ameajiriwa Serikali kuu na wawili tupo katika mashirika ya umma.

Tunatafuta Wachumba wasichana watatu wawe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Cheti na kuendelea, weupe kiasi, waelewa, wenye makalio ya kuvutia, maumbo mazuri, , walio na Kazi au hata wasio na kazi na Mungu akipenda tuna lengo la kufunga Ndoa tatu kwa mara moja kwa walio na sifa hizo tu Pm.
 
Lol dunia inamambo...ingia kwenye mitaaa wazishi wamezagaa...dunia INA mamboo
 
kama mmejipanga poa vizuri!! kila la kheri mpate warembo wazuri maana jf hawakosi wenye vigezo!!!
 
Lol dunia inamambo...ingia kwenye mitaaa wazishi wamezagaa...dunia INA mamboo

Hapa akili yako na yangu mule-mule japo jinsia zetu ni opposite! Mungu ni wa ajabu sana(kama kweli yupo)! Stimes we think alike stimes differently! Kweli maisha ya ndoa u win some u loose some(kuvumiliana)!
 
Udomo zege siku hizi limekuwa tatizo la kitaifa.
 
Watu wanajitoa kwenye mitandao ya ngono nyie ndo kwanza mnapanga mikakati ya kuingia!!! Ndoa 3,same place,same mc,etc = one bridegroo 3 brides and vice versa!! Jaribu lakn pengine nyie ni watakatifu! Kila la kheri!!!
 
Wakuu watatu njooni huku mtaani kwetu kuna kigodoro leo wamejaa kibao tena unaoa hapohapo kaz kwenu.
 
muda wenu bado sana wavulana mnataka kuoa????????????
 
Na hamtapata wa sifa hizo mpaka mnakufa shenzi zenu.mtashia kuolewa badala ya kuoa....
 
duh we utakuwa domo zege na kidogo ndo afadhali kuliko hao wenzako mana ndo unawatongozea
 
Back
Top Bottom