Wapenzi wa kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapenzi wa kweli

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by yesaya ibrahim, Apr 7, 2011.

 1. y

  yesaya ibrahim Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaopendana kwa dhati hawajawahi kuingia katika mahusiano wiki moja tu baada ya kuonana
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Daahhh
  Samahani mkuu
  sijakuelewa..
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ni kweli
  cz thr z no love from 1st site
  penz umea na kukua..


  1st unamtaman mtu kwa nje tu
  2nd unaongea nae kujua upstair yake yaliyomo yamo?
  mnashare LUGHA?kuna code n chemistry btn u?
  3rd unamchunguza yupo SAFE? thats hana mtu/akuna kikwazo?
  4th mnaanza sasa apa na pale apa napale mwshowe mnafall kiukweli ...


  lakin mimi siamin katika kumpenda mtu kwa style ya shok et nimemwona tu moyo wangu ukapga ppppaaaaaaaaaaaaaaaaa nikampenda apo apo .....ukimkarbia kuongea nae anaongea upupu,maluweluwe,anatukana tu anaongea UGORO in shot unataka kunambia utaendelea kumpenda?  ni kweli mapenz ya kweli hayaji kwa muda mfup...t takes tym.

  nawasilisha naenda kupasha kiporo changu mie wali njegere nile nifue karibuni......:love:
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mbona mimi na wewe tulipenda ndani ya masaa tu l.o.l
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  cz we r excptional....wateule..AWA WAMATAIFA AWATAWEZA KUPAS STYLE YETU...ptia kndon leo jaman dig dig wewe missng u badly
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Me will be coming kino klain halafu baada ya kuja nitafunga njia zote ili wale wengine wasije
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hivyo!! Wanaingia baada ya wiki ngapi?
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sijui ni njaa, sijui ni kazi nyingi sijui lbd mie mwenye kilaza tu mbona sijaelewa???????
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  utawawekea MAGOGO YA CHOKLATE NJIAN WASHINDWE KUPITA? gud
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  et ivi;mapenz ya kweli hayaji kwa wiki au muda mfup..we wasemaje?
  mi nkasema yes ..yanaitaj tyme cz love inastage pia katika kumature mpk kudeclare we r falling now...aya twende kaz shost...
   
 11. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ok, utafunga njia ila je wale waloko ndani ya kino si ndio mtakua mmewafanaya waje manake watakua hawana pa kwenda since njia zimefungwa?
   
 12. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  yani hapa unamaanisha i love yu vuu si mapenzi ya kweli?

  mbona wapo watu kwenye ndoa za muda mrefu tu lakini walikutana kwa tyle hiyo 'ai lav yu vuu' na wanapendana mwisho..
  wacha uongo
   
 13. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hapo itakuwa na matamanio tu sio kupendana bwana :tape::tape:
   
 14. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  inategemea
   
 15. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  jamani mtoa mada embu kuwa serious kidogo weka kitu kieleweke au mwisho ungeandika discuss kama kwenye mtihani
   
Loading...