ngoja nikusaidie kidogo chiefAlways - James Inglam
Cassanova - Levvert
Cool it now - New edition
Point off no return -
Roses are red -
Who is that girl - madonna
Get down on it - Cool n the gang
Illusion -
...ngoja niendelee kukumbuka chief,
Tuwekee mkuu ... nikipata muda kesho nitaweka list yangungoja nikusaidie kidogo chief
noel silent moring
ive thinking abt u london beat
ilusiom imagnation
yan chief nnazo nying hzo nyimbo n hatar
Sawa mkuu ngoja niingie chakaEka na audio
Wakuu mko powa...
Mim ni mpenzi wa yale mangoma ya enzi hizooo,,
Makundi kama The Temptations, Cool & the gang basi nikisikia vibao kama
Treat her like a lady, dady cool, don't let it till get enough, na vingi vya miondoko hyo,
Kipindi hiko EATV nilikua sibanduki.
Papa was a rolling stone. [emoji116]
Njooni jaman wahenga kama mimi.
Wanaitwa London beat![emoji445]i will be thinking about you...i will be..thinking about you[emoji445]kale kamsound kake duh.
I know [emoji19]Wanaitwa London beat!
acha tu, mm zinanikumbusha enzi izo tunatoka school tunaenda kuzurula mitaa ya mwenge, itv na knyama...Coco jambo-Mr President
Strike it up-Black box
Kaoma-Lambada
What is love-Haddaway
Everybody everybody-Black box
.....zipo nyingi sana,....hayo ndo mambo yangu,....huwa nakumbuka mengi sana nikisikiliza hiz nyimbo,...marafiki,shule,wapenzi Wa zama za utotoni nk.
Watoto hawa Wa cku hiz Wa bongo fleva hapa lazima tuwaache,...hizi mambo za wahenga
Kumbe Levert alishakufa....aisee!Anyway nianze hivi, muziki wa sasa bila kujali ni wa mtoni au bongo its almost km umepoteza ile flava yake.
Kwa upande wa muziki wa mtoni at least wenyewe stil unaishi na ndio maana hadi ss tunaweza kusikiliza nyimbo za 2000's, 90's 80's, na hata 70's. Ukweli ni kwamba baadhi ya pini za miaka hiyo ni kali na zuri zaidi can bring a lot of memories.
Mimi naweza kusema ni muhenga kwenye hizi nyimbo ingawa nyingine zimenizidi kbs umri but yet nazikubali sn na najua ku-swing kiaina, inapotokea nahitaji kwenda sehemu ambayo nitakonga moyo wangu basi huwa najongea The Alcade East 24 kwa peter mo-Mikocheni au Club Legends kwa John Dillinga ambao wote ni wakali sana wa hizi mambo.
wakongwe wachache ambao wakubali ni kama
Gerald Levert (RIP)
Surface,
Shalamar,
New Edition,
Nu shooz
James Ingram
Mark morison
Mc Hammer
Chaka Khan
Calyn white
Ice Mc
Johny gill (Solo)
Bobby Brown (Solo)
Soul for real
Jackson 5
hawa ni wachache hasa kwa 80's ambao nyimbo zao nyingi zimekuwa copied na kufanywa upya new skul ambazo zonabamba kwa ss!
Kwa upande wa 90's wapo
Kevon Edmonds
usher Raymond
Ashanti
Ashley ballad
Tyrese
Mary J
Vyette chelle
Monica Anorld
Brandy
Non challant
Luniz
Nate Doggy
Warren G
Fox brown
Lil kim
Hao ni wachache.....
Kesho ntaanza kuwawekea track zao tuwaonye kwa taste za kazi zao.
[HASHTAG]#iloveoldies[/HASHTAG]
Karibu shea na sisi chief,ngoja nikusaidie kidogo chief
noel silent moring
ive thinking abt u london beat
ilusiom imagnation
yan chief nnazo nying hzo nyimbo n hatar
Ride on time - Black boxCoco jambo-Mr President
Strike it up-Black box
Kaoma-Lambada
What is love-Haddaway
Everybody everybody-Black box
.....zipo nyingi sana,....hayo ndo mambo yangu,....huwa nakumbuka mengi sana nikisikiliza hiz nyimbo,...marafiki,shule,wapenzi Wa zama za utotoni nk.
Watoto hawa Wa cku hiz Wa bongo fleva hapa lazima tuwaache,...hizi mambo za wahenga
Ride on time - Black box
Girl i'm gonna miss you - Nilli Vanilli
Careless Whisper - George Michael (R.I.P)
Who is that girl - Nu shooz
Candy girl - New edition
Time after time - Cyndi Lauper
Anyway nianze hivi, muziki wa sasa bila kujali ni wa mtoni au bongo its almost km umepoteza ile flava yake.