Wapenzi wa jinsia moja waliotoroka kambi ya wakimbizi Kakuma warejeshwa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Kundi la watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja waliotoroka katika Kambi ya Wakimbizi ya Kakuma wamerudishwa katika kambi hiyo

Watu hao walitoroka katika kambi hiyo ya Kakuma kwa madai kuwa walikuwa walengwa wa matukio ya ubaguzi dhidi yao, wamekamatwa Nairobi na wamerudishwa katika kambi hiyo

Walitoroka katika kambi hiyo baada ya maafisa wanaosimamia Kambi ya Kakuma kueleza kuwa hawako tayari kuwalinda watu wanaojihusisha na vitendo hivyo

Kufuatia sakata hilo, Umoja wa Mataifa umeahidi kutoa ulinzi dhidi ya watu hao
 
Back
Top Bottom