donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Je unapenda challenge ya 1v1 games kwa your device? Kama ndio, nafkiri games Za iMessage ni games nzuri sana.kwanza hii ni messaging app nzuri sana ambayo ni kwa ios. Users only na pia inaendana na Facetime, a video calling app kwa ios only. Chini, ni screenshot ya game nlikua nacheza na mshkaj wangu mmoja, so kwa ios users pls i dare y’all a challenge.