kama mnataka series just type o2tvseries.com au toxicwap.com mtazipata hizo series zote including hiyo game of thrones kwenye simu zenu au hata laptop c lazma uwe na HBO or NETFLIX channels kuweza kuangalia..na unachagua mpk option utakayo ww kulingana na uwezo wa cm yako kama ni Mp4,Mp4 HD au 3gp....natumaini nitakuwa nimewasaidia wengi kwa kiasi chake...ila make sure unatumia Opera Mini,Chrome au UC browser kudownload coz its easy and fast..