mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
hata mimi sijaiangalia, na wala sijui mahali pa kuipata.[emoji849][emoji849][emoji849]Hivi ni mm tyuu ndio sijaangalia hii movie??
[emoji848] ngoja niitafute
hata mimi sijaiangalia, na wala sijui mahali pa kuipata.[emoji849][emoji849][emoji849]
Ipo ktk chanel gani? ama ipo YouTube??Mm niliona kipande kidogo sehemu ya kwanza nikaona sielewi niakaacha wanasema kadri unavyo angalia inazidi kunoga
Ipo ktk chanel gani? ama ipo YouTube??
Kumbe imetafsiriwa? movie za kutafsitiwa kwangu huwa hazipandi kabisa!!Tafuta kwenye hizi studio za kubani muvi au Netflix
Kumbe imetafsiriwa? movie za kutafsitiwa kwangu huwa hazipandi kabisa!!
Napitia google?Nenda Netflix utapata full HD
hakuna kuoa wala familiaHivi ni mm tyuu ndio sijaangalia hii movie??
[emoji848] ngoja niitafute
Tupo wote. Na tupo wengi.Hivi ni mm tyuu ndio sijaangalia hii movie??
[emoji848] ngoja niitafute
hakuna kuoa wala familia
sorry nmekosea kuquote mkuuSijakuelewa mkuu au umekosea kuni quote??
Hivi ni mm tyuu ndio sijaangalia hii movie??
🤔 ngoja niitafute
inarudiwa wap?GOT inarudiwa , s8 yote [emoji4][emoji4]
Siyo kweli japo watu zaidi ya million moja wame sign petition irudiwe eti haikuisha vizuri lakin mara nyingi series uwa haziishi na kukithi matarajio ya watazamaji hairudiwi wala nini isipokuwa kutakuwa kuna mwendelezo wa story wa baadhi ya characters lakini itakuwa na jina lingine na itakuwa ni kwa character flan mfano arya baada ya kuanza adventure yake to the westGOT inarudiwa , s8 yote [emoji4][emoji4]
Shukran mkuuSiyo kweli japo watu zaidi ya million moja wame sign petition irudiwe eti haikuisha vizuri lakin mara nyingi series uwa haziishi na kukithi matarajio ya watazamaji hairudiwi wala nini isipokuwa kutakuwa kuna mwendelezo wa story wa baadhi ya characters lakini itakuwa na jina lingine na itakuwa ni kwa character flan mfano arya baada ya kuanza adventure yake to the west
Nenda Netflix utapata full HD