Wapenzi wa electronic dance music (EDM)

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
hivi karibuni nimetokea kuupenda sana huu music. ningependa kuujua zaidi kutoka kwa wapenzi wa hizi ngoma za kina Calvin Harris, David Guetta, Tiesto, Dash Berlin etc.
ni dj gani unamkubali zaidi? song gani unazikubali zaidi?
 
dah mmenikuna sana hapa...mi namkubali zaidi Avicii...

Na hii ndio top 5 yangu

5.David guetta ft kelly rowland - When love takes over

4.David guetta ft sia - Titanium

3.Avicii - Hey brother

2.Avicii - Nights

1.Avicii - Dancing in my head

Top 5 yangu
5. Hardwelll - Dare you
4. Armin van burren - this is what it feels like
3. DVBSS - Tsunami
2. Avicci - Nights
1. Calvin harris - Summer
 
avicii nimesikiliza waiting for love na lay me down. yupo vizuri. ametoa album mwaka jana mwishoni. mi top five yangu.
1. Tiesto-red lights
2.Alesso-hero
3. Dash Berlin - silence in your heart
4.Dash berlin- disarm yourself
5.hardwell- bazaar
 
Aisee ndo ngoma zangu hizo mkuu,yaani nasuuzika sana nikiskiliza tena nikiwa high hua naona kama napaa ila david guetta noma
jamaa ni legend. harafu kinachomsaidia zaidi ni kufeature mastaa wakubwa. itafute ngoma ya calvin harris na tinie tempah inaitwa drinking from the bottle.
 
Top 5 yangu
5. Hardwelll - Dare you
4. Armin van burren - this is what it feels like
3. DVBSS - Tsunami
2. Avicci - Nights
1. Calvin harris - Summer
hilo ngoma Tsunami nalikubali sana.
 
kuna hili tamasha la maraver linaitwa ultra music festival ni noma. ma DJ wakubwa wote hukusanyika jaribu kucheki performance zao torrents.
maxresdefault.jpg
 
dah mmenikuna sana hapa...mi namkubali zaidi Avicii...

Na hii ndio top 5 yangu

5.David guetta ft kelly rowland - When love takes over

4.David guetta ft sia - Titanium

3.Avicii - Hey brother

2.Avicii - Nights

1.Avicii - Dancing in my head
kuna dj muingereza anaitwa Gareth Emery. ametoa album mwaka huu inaitwa 100 reasons to live. ni kali sana.
 
hivi karibuni nimetokea kuupenda sana huu music. ningependa kuujua zaidi kutoka kwa wapenzi wa hizi ngoma za kina Calvin Harris, David Guetta, Tiesto, Dash Berlin etc.
ni dj gani unamkubali zaidi? song gani unazikubali zaidi?
Dah nimefueahi sana kuona wadau wa EDM hapa JF mi namkebali Markus Schulz,Dj Tiesto,Above and beyond,Avicii na deadmau .Yaani nikiwa nasikiliza nyimbo za EDM nakuwa kama nipo high fulani hivi zinaniondolea hata mawazo nikiwa nayo,halafu kuna playlist ya nyimbo za "ZYZZ" youtube huyu jamaa enzi za uhai wake alikuwa mdau mkubwa sana wa EDM so ukisearch "zyzz songs" youtube utaziona EDM songs za ukweli kinoma from different dj's na artists.
 
inabidi tuwe tunashare nyimbo kalikali. ngoja nimtafute markus nimsikilize.
 
Waiting for love, Avicii kamaliza pale.
Monday left me broken
Tuesday I was through with hoping
Wednesday my empty arms were open
Thursday waiting for love, waiting for love
Thank the stars it's Friday
I'm burning like a fire gone wild on Saturday
Guess I won't be coming to church on Sunday
I'll be waiting for love, waiting for love
To come around
 
1. Afro Jack ft Matthew Koma- Illuminate

2. Dj Fresh ft Sian Evans- Louder

3. David Guetta ft Ryan Tedder - S.T.O.P

4. Dj Fresh ft Ella Eyre- Gravity

5. David Guetta ft Nico & Vinz & Black Mambazo - Lift me up

6. Matrix & Future Bound ft Max Marshall- Control

7. Cedric Gervais ft Lana Del Rey - Summer time sadness
 
Dah nimefueahi sana kuona wadau wa EDM hapa JF mi namkebali Markus Schulz,Dj Tiesto,Above and beyond,Avicii na deadmau .Yaani nikiwa nasikiliza nyimbo za EDM nakuwa kama nipo high fulani hivi zinaniondolea hata mawazo nikiwa nayo,halafu kuna playlist ya nyimbo za "ZYZZ" youtube huyu jamaa enzi za uhai wake alikuwa mdau mkubwa sana wa EDM so ukisearch "zyzz songs" youtube utaziona EDM songs za ukweli kinoma from different dj's na artists.

Aiseeeee! Above & Beyond Beibyyyyy!

1. Above and Beyond ft Alex Vergas- Sticky Fingers

2. Markus Schulz ft Ana Diaz- Nothing without me

3. Zedd ft Hayley Williams - Stay the Night

4. Zedd ft Foxes- Clarity

5. Zedd ft Selana Gomez- I want to know

6. Neon Jungle- Brave Heart

7. Schiller ft Adam young- Alive
 
1. Oljan Nilsen ft Adam Young - In the Air

2. Rudimental ft John Newman- Feell the love

3. Rudimental ft Ella Eyre- Waiting All night

4. Rudimental ft Emeli Sande- More than anything

5. Rudimental ft Becky Hill- Powerless

6. Naughty Boy ft Beyonce & Arrow Benjamin- Running

7. Naughty Boy ft Sam Smith - La La La

8. Kiesza- Hideaway

9. Robin Schulz ft Mr Probz- Waves

10. Kygo ft Ella Eyre- Here for you

CC: Red Giant tafuta hizi nyimbo mkuu you wont regret aisee. Mimi nina album zote.
Thanks ndugu yangu umenikumbusha sana Chuoo!!!
Daaaah.
 
Top 100 DJs 2015nife Party

mkuu nimezicheki hizi ngoma zote. Adam Young kanikumbusha Owl City.weekend yangu itakuwa poa sana. shukrani
 
1. Afro Jack ft Matthew Koma- Illuminate

2. Dj Fresh ft Sian Evans- Louder

3. David Guetta ft Ryan Tedder - S.T.O.P

4. Dj Fresh ft Ella Eyre- Gravity

5. David Guetta ft Nico & Vinz & Black Mambazo - Lift me up

6. Matrix & Future Bound ft Max Marshall- Control

7. Cedric Gervais ft Lana Del Rey - Summer time sadness

nilikuwa sijawahi mfuatilia Afro Jack. ila kwa hii ngoma ntaanza kumtafuta. Rudimental naona naye yuko fresh. thanks for sharing.
 
Back
Top Bottom