Napenda zaidi wimbo wao wa talk. Miezi michache kabla ya kifo cha baba yangu nilikuwa napenda sana kusikiliza wimbo wao huo... Ni wimbo ambao wanamwomba kaka yao awape ripoti ya huko alipoenda...
Mzee mpaka utumie torrent download.
Kwanza tafuta program ya U-Torrent then install kwenye PC kisha ingia kwenye mtandao unaitwa Kat.ph then search album
Mzee mpaka utumie torrent download.
Kwanza tafuta program ya U-Torrent then install kwenye PC kisha ingia kwenye mtandao unaitwa Kat.ph then search album