Wapenzi wa cold play

Wapenzi wa cold play

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,451
Reaction score
69,321
Jamani hawa ndugu wana Album mpya nzuri balaa inaitwa A HEAD FULL OF DREAMS.
Cold play is really a Blessing.
 
Tupo pamoja , mimi ninayo tayari since the release date....
 
Napenda zaidi wimbo wao wa talk. Miezi michache kabla ya kifo cha baba yangu nilikuwa napenda sana kusikiliza wimbo wao huo... Ni wimbo ambao wanamwomba kaka yao awape ripoti ya huko alipoenda...
 
Nikitaka kuwa browse na kudownload na andika jina gani

Mzee mpaka utumie torrent download.
Kwanza tafuta program ya U-Torrent then install kwenye PC kisha ingia kwenye mtandao unaitwa Kat.ph then search album
 
Mzee mpaka utumie torrent download.
Kwanza tafuta program ya U-Torrent then install kwenye PC kisha ingia kwenye mtandao unaitwa Kat.ph then search album

Me nimekuelewa hila me nataka jina la ao jamaa linaitwaje na album
 
Back
Top Bottom