Wapenzi wa CARTOON..

Wapenzi wa CARTOON..

Dah kuna ile kartoon moja ya loponzo naikubali sana ipo poa ingawa zimetolewa nying kuna moja naikubali for sure
 
Loponzo inaelezea story kuhusu bint mfalme aliyefichwa juu ya mnara
 
Jamaa anamikogo akiona demu atajifutua hapo mala ajivimbishe duhuu huyu jamaa Nouma kishenzi kuna siku alimuudhi mama yake alikula vibao kudadeki
 
Three girls hao ktk avatar yangu
Tom & Jerry
Pink Panther huu ni mtambo wa PhD
Scooby Doo
Pink & Brain
watoto wa siku hizi hawafaidi kabisa, cartoon iliyobaki ni ubongo kids basi
 
Nnazo Cartoon zaidi ya 150. Kila moja waweza kuipata kwa buku tu. Quality ni blueRay na full HD. Njoo inbox.

IMG_1486527187.607327.jpg
 
Back
Top Bottom