Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,074
- 5,913
RubbishTukienda kisayansi kabisa
Mosi:Wanawake in general hawapendi vitu vigumu vinavyotumia akili nyingi(sio uwezo wa kukariri) ndomaana wengi hawasomi sayansi. Magem kama motocombat,Freerire,Pubg hawapendi
pili wanawake(na watoto) wanapenda rangi rangi nyingi(bright colours) lakini wanaume hawapendi hivo wanapenda simple colours(black/white) Angalia hata mavazi...wanaume(kwa wingi) wanavaa plain sana yani jinsi plain,tishet plain au Kanzu plain lakini wanawake wanavaa mavitenge madera na manguo yenye rangi nyinginyingi.
Tatu.Rangi ya pink (na zinazoikaribia hiyo mpaka dhambarau)inapendwa sana na jinsia hiyo na ndomaana candy crush wanapenda
Nne,Pipi tu ni chakula kinachopendwa na wanawake na watoto...ni ajabu kuona jamaa na midevu yake anakula pipi kijiti lakini ni kawaida kumuona binti.
Sent using Jamii Forums mobile app