Wapenzi wa Candy Crush Saga tukutane hapa

Kuna level ngumuuu unaweza ukakesha nazo hata 2 weeks.
Me nikishindwa nalipotezea kwa mda nikilimiss nalirudia had navuka
Mimi sikumbuki level sahihi lakini nipo 2000+ na ni mwaka wa tatu huu nafukuza mwizi
 
Mimi sikumbuki level sahihi lakini nipo 2000+ na ni mwaka wa tatu huu nafukuza mwizi
Mimi nililicheza mwaka mzima mfululizo. Kuna mahali unashare na marafiki ili upate point za kuvuka level fulani. Vurugu tupu
 
95FB3B63-992C-4D57-A299-0DC240C359BC.jpeg
95FB3B63-992C-4D57-A299-0DC240C359BC.jpeg
 
Sivai kwa sababu tu limezoeleka kuvaliwa na wanawake...lakini Hakuna sababu ya kisayansi ya kulidhihirisha ni vazi la kike..ni ishu ya mtazamo tu.

Na ndo candy crush..limezoeleka kuchezwa na wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka namba mezani wanaume na wanawake wangapi wanacheza hili game? Kama huna namba tulia tu.
 
Yaani kila kitu unabahatisha tu.
Tukienda kisayansi kabisa
Mosi:Wanawake in general hawapendi vitu vigumu vinavyotumia akili nyingi(sio uwezo wa kukariri) ndomaana wengi hawasomi sayansi. Magem kama motocombat,Freerire,Pubg hawapendi

pili wanawake(na watoto) wanapenda rangi rangi nyingi(bright colours) lakini wanaume hawapendi hivo wanapenda simple colours(black/white) Angalia hata mavazi...wanaume(kwa wingi) wanavaa plain sana yani jinsi plain,tishet plain au Kanzu plain lakini wanawake wanavaa mavitenge madera na manguo yenye rangi nyinginyingi.

Tatu.Rangi ya pink (na zinazoikaribia hiyo mpaka dhambarau)inapendwa sana na jinsia hiyo na ndomaana candy crush wanapenda

Nne,Pipi tu ni chakula kinachopendwa na wanawake na watoto...ni ajabu kuona jamaa na midevu yake anakula pipi kijiti lakini ni kawaida kumuona binti.






Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom