Wapenzi wa Candy Crush Saga tukutane hapa

Nishaiona ila sijawahi kuicheza...Naionaga hasahasa kwenye madaladala madem wanacheza tena kwenye zile simu zenye kava jekundu shape ya paka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usihukumu kitu usichokijua. Sema unasikia jina na pengine unaona kwenye matangazo lakini haujawahi kulifungua. Kama umeshindwa kutambua marangi ya zile balls unawezaje kusema ni la kike?
 
Usihukumu kitu usichokijua. Sema unasikia jina na pengine unaona kwenye matangazo lakini haujawahi kulifungua. Kama umeshindwa kutambua marangi ya zile balls unawezaje kusema ni la kike?
mkuu marafiki zangu wa kike wanalicheza sana...nikiliona tu nalijua
Silijui kindani kwasababu sijawahi cheza lakini nikiliona nalijua.
We angalia hata huu uzi walioanza kuchangia wengi ni madem.

Mfano:Wewe unazijua brand za sidiria,Size zake,Uvaaji wake na tofauti zake? Lakini kwanini unajua sidiria ni vazi la kike?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napambana na level 2898
Screenshot_20201210-211546.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom