Wapenzi wa Bus Simulator Indonesia tukutane hapa

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,428
Reaction score
27,137
Morning Guys

Naamini tupo sawia na wale wa Daslam mnajiandaa na bonge la party J'pili [emoji38][emoji38]

Kichwa cha habari chahusu.

Kama wewe ni mpenzi wa bus simulator Indonesia au mpenzi wa android games karibu tufanye kushare skin, mods na tactics nyinginezo kwenye bus simulator indonesia.




I'll be back

------
Features:
Free mode: kwa ajili ya kuexplore roads na tizi

Carrier Mode: Kwa ajili ya kukusanya money in rupee zitakazosaidi kuunlock bus nyingine na kucheza multiplayer

Multiplayer Mode: mnacheza online up to 10 player in a group. Hapa ndio mnapata ushindani halisi wa mtu na mtu.

Garage: kuswitch Magari, na kuweka nakshi n.k

Shop: Kununua mabasi.

Supports: skin, mods

Roads: ni za miji ya Indonesia tu kwa sasa.

Size:282mb ( lipo Playstore )

---
Kwa wale wa ligi tukutane hapa. Group ni jipya. Share link kwa yoyote .

BUS SIM. INDONESIA LEAGUE - tz

Skin ninazo nyingi tu na zote ni free.
View attachment 1487202
 

Aisee hili game kumbe bado lipo nililichezaga mwaka jana online,ni mwendo wa ligi tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…