Wapenzi wa Android Smartphones: Jaribu Invi

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,219
1,225
Kwa wale wapenzi wa simu zenye android. Kuna hii kitu yaitwa Invi, ni rich media texting app, iko fun na free. Mfano ninapotumiwa breaking news za Jamiiforums, basi invi inaweza ikatoa preview inayoweza ambatana na picha (ikiwa simu yako ina internet). Hebu jaribu. Ina muonekano kama huo hapo chini kwa wale wanaotumia Samsung Galaxy S4. Iko katika hatua za mwanzo mwanzo, hivyo inaboreshwa kila siku.
invi - Texting. Reinvented.
feature1.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom