Wapenzi wa American series

maedson

Senior Member
Sep 7, 2012
151
86
Hizi kwangu ni bomba mbayaaaaa!
Arrow

The last ship

Tyrant

Game of throne

Vampire diaries

Under the dome

Orphan black

Sim yangu
 
Arrow season 1 peke yake ndo nzuro.. Huko mbele wameiharibu.. Usupa hero umekua too much.. Imekaa ya kitoto sana (below 15) .. Tyrant noma sana.. Hizo zingine cjaziona.. Naangalia za kikorea sana kuna hii inaitwa kingdom of the winds ebana kama hujaiona itafute.
 
Kingdom of wind or the land of wind ni mwendelezo wa Jumong, kwakweli nayo iko poa sana!

Humu tuna mkuta Yuri ambaye ni mtoto wa Jumong amekuwa mkubwa na mfalme wa Kuguriyo, Muyol ambaye ndo mjukuu wa Jumumong ndo habar ya mjini.

Nimependa sana utabiri wa kiungu ulokuwa una muandama Muyul, utabiri ulisema kuwa Muyul atamuua baba yake na ndugu zake! Ulitimia ingawa si Muyul aliyewaua lakini yeye ndio sababu ya vifo vyote.

Huenda nduguze wasingeuliwa na badala yake wangekufa vifo vya kawaida, tunajifunza hapa kuwa majaliwa ya kiungu ni vigumu kuyaepuka!
 
Wewe Nyani Ngabu upo wapi? Nakutafuta sana wewe naona upo kimya alafu hakuna story. Come on ma homie

Mie mbona nipo sana tu.

Umenitafutia wapi?

Saa hivi nipo Mbezi Beach nafuatilia NFL season opener kati ya Patriots na Steelers.

Go Pats.....

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Hahahah! Umesharudi Tanzania mzee wa ma stories anyway poa poa. Mzee wa NFL
 
Kingdom of wind or the land of wind ni mwendelezo wa Jumong, kwakweli nayo iko poa sana!

Humu tuna mkuta Yuri ambaye ni mtoto wa Jumong amekuwa mkubwa na mfalme wa Kuguriyo, Muyol ambaye ndo mjukuu wa Jumumong ndo habar ya mjini.

Nimependa sana utabiri wa kiungu ulokuwa una muandama Muyul, utabiri ulisema kuwa Muyul atamuua baba yake na ndugu zake! Ulitimia ingawa si Muyul aliyewaua lakini yeye ndio sababu ya vifo vyote.

Huenda nduguze wasingeuliwa na badala yake wangekufa vifo vya kawaida, tunajifunza hapa kuwa majaliwa ya kiungu ni vigumu kuyaepuka!

Yeah sure .. Jumong nayo ni noma .. Yaani hizi series mbili kwa kweli zina story nzur sana.. Nlichoipendea sana land of the winds ni kwamba inasikitisha sana.. Kama una moyo laini lazma machozi yakutoke.. Hivi series gan nyingine ya kikorea uliyoina ambayo ni nzur? Any suggestions?
 
Game of throne ni nzuri sana, tatizo watu wanashindwa kuelewa story halisi ya mchezo
 
kuna hii series kali sana

rickmorty.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom