Habarini wandugu na poleni na majukumu ya kila siku, 2014 mwishoni nlitumiwa sms ya salamu ya kawaida tu na namba ilikuwa ngeni. Nikapiga simu akapokea mdada baada ya salamu akaniuliza wewe nani nikamwambia umentumia sms akadai kama ni hivo basi atakua alikosea namba.
Tukaendelea kuwasilina tukazoeana sana kupitia simu. Mwezi wa tatu hivi 2015 nikamu approach tukawa wapenzi yaani vizuri tu japo hatujawahi kuonana yaani sometime hadi tuna gombana tunapatana kama tumewahi kuonana hivi, miezi michache iliyopita nimehamia mji ambao yeye yupo nilimwambia akafurahi sana tatizo linakuja sasa nikimwambia tuonane anakwepa kwa visingizio kibao mara nyingine husema anakuja halafu kimya had leo hii hatuja onana.
Nashindwa kuelewa kwa nini hataki tuonane anataka mawasiliano ya simu tu.
Naomba ushauri wenu