Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,918
- 8,704
Havihusiani hata
Mkuu fikiria tena kwa upana kuna angle vinahusiana...
Utanishukuru baadae..
Havihusiani hata
Sawa mkuuMkuu fikiria tena kwa upana kuna angle vinahusiana...
Utanishukuru baadae..
Anaruka mkojo afu anakanyaga .....😂Hamna ujanja Wala ushamba sasa ukiogopa kuswaki kupitia mswaki wa mpenzi wako alafu badae unaenda kumlamba mikiss itakua unakimbia nn sasa hapo ?
🤣🤣🤣🤣🤣Kushare mswaki hapana,.bora kuzamiana kwenye vyanzo vya chumvi,.