Wapenzi kukatiana mawasiliano

Wapenzi kukatiana mawasiliano

Mgegedo

Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
91
Reaction score
89
Heshima kwenu waungwana

Inapotokea umetofautiana kidogo na mpenzi wako na chanzo cha tatizo ni yeye je kumkatia mwasiliano ni njia sahihi ?

Na inapotokea mpenzi wako wa kike amekukera iwe kwa kauli au kwa vitendo huwa unatatua vipi changamoto hii ?

Mwisho wa yote ningependa kufahamu nani ambae anastahili kuvunja ukimya kati ya mwanam ke na mwanume

Karibuni
 
Heshima kwenu waungwana

1. Inapotokea umetofautiana kidogo na mpenzi wako na chanzo cha tatizo ni yeye je kumkatia mwasiliano ni njia sahihi ?

2. Na inapotokea mpenzi wako wa kike amekukera iwe kwa kauli au kwa vitendo huwa unatatua vipi changamoto hii ?

3. Mwisho wa yote ningependa kufahamu nani ambae anastahili kuvunja ukimya kati ya mwanamke na mwanume

Karibuni
1. Kumkatia mawasiliano bila kujadili yaliyojiri sio suluhisho/sio sahihi, labda iwe ulikua unamtafutia sababu ya kuachana nae
2. Ongea nae, zungumza nae, jadili nae, sema nae…..
3. Hakuna formula ila mara nyingi wanaume wameumbwa kutokununa nuna so mara nyingi wanakuwaga wepesi wa kuanzisha mazungumzo.
 
Heshima kwenu waungwana

Inapotokea umetofautiana kidogo na mpenzi wako na chanzo cha tatizo ni yeye je kumkatia mwasiliano ni njia sahihi ?

Na inapotokea mpenzi wako wa kike amekukera iwe kwa kauli au kwa vitendo huwa unatatua vipi changamoto hii ?

Mwisho wa yote ningependa kufahamu nani ambae anastahili kuvunja ukimya kati ya mwanam ke na mwanume

Karibuni
Dah...katika ulimwengu wa mapenzi...kama hakuna pesa na mgegedo...hakuna sababu ya kuendelea kuwepo... ukweli mchungu [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Maswali mengine bhana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wew fanya unalo jisikia ni sawa.
sisi hatujui kama ni mke au kimada tu.

NOTE; kwa wife material, lazima awe anakubali ukisemacho au ukimuelekeza kitu awe anakubali na kutii,
Hapo kwenye kukubali na kutii kila akisemacho kuna ukakasi. Vingine ataitikia tuu kwa uoga. Ni kautumwa fulani hivi.....Sema hakuna namna wakati mwingine.
 
Dah...katika ulimwengu wa mapenzi...kama hakuna pesa na mgegedo...hakuna sababu ya kuendelea kuwepo... ukweli mchungu [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
Umeongea jambo la msingi sana weekend hii.
 
Hapo kwenye kukubali na kutii kila akisemacho kuna ukakasi. Vingine ataitikia tuu kwa uoga. Ni kautumwa fulani hivi.....Sema hakuna namna wakati mwingine.
tafuta mume, mwenye hekima na maarifa. utaona dunia tamu na utajiona mwenye bahati, mbali na hapo (wapolo)wauni ukiwazingua unakula na kipigo juu
 
Hapo kwenye kukubali na kutii kila akisemacho kuna ukakasi. Vingine ataitikia tuu kwa uoga. Ni kautumwa fulani hivi.....Sema hakuna namna wakati mwingine.
Mwanamke ni wa kushauriana naye sio kumtiisha. Anatambua nafasi ya mwanamume hata kama hajapewa amri kama ni mwanamke anayejitambua.
 
Back
Top Bottom