Kumbe unaakili namna hii 🤛🤛Mwambie Jamaa yako kua,
Kuna siku fulan ivi haina jina, Mke wake atakutana na kijana mmoja ivi anayejua kutumia fursa, kijana asomaye moyo wa mwanamke bila kuambiwa, kijana ayaonaye machozi ya mwanamke bila hata mwanamke kulia.
Siku hiyo mwanamke atapata mtu wa kumfariji.
Ukikosana na Mwanamke wako yaan mke wako ,tena ktk jambo ambalo nayeye alikua anajitafutia uhalali wa hisia zake... NENDA UPATANE NAYE KABLA JUA HALIJAZAMA.
basi tu My wangu[emoji8]Kumbe unaakili namna hii [emoji2935][emoji2935]
Nikweli akikua atayaona ni vitu vya kawaida shonde ndani ya ndoa ila huwa linaisha lenyewe tu bila kumbana msamaa mara nyingi kwenye ndoa ni bora muekaneshonde hata mwezi lkn ugomvi wenu muumalize wenyew bila kumshirikisha mtu .Haipendezi kuwekana vikao mkaamuliwa ugomvi wenu na watu wengineNa wewe oa halafu utayaona.
Hutakuja tena hapa JF kuuliza, utajua tu.
Mwambie Jamaa yako kua,
Kuna siku fulan ivi haina jina, Mke wake atakutana na kijana mmoja ivi anayejua kutumia fursa, kijana asomaye moyo wa mwanamke bila kuambiwa, kijana ayaonaye machozi ya mwanamke bila hata mwanamke kulia.
Siku hiyo mwanamke atapata mtu wa kumfariji.
Ukikosana na Mwanamke wako yaan mke wako ,tena ktk jambo ambalo nayeye alikua anajitafutia uhalali wa hisia zake... NENDA UPATANE NAYE KABLA JUA HALIJAZAMA.
Ongeza Sauti MyAgiza nyama choma nakuja kulipa[emoji1490][emoji1490]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole yao sana...
Siku tatu mwanamke ananuna mpo nyumba moja na unamuangalia tu...
Mwambie jamaa yako amkaze huyo mke kununa kutakwisha...
Jamaa anafeli sana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]