wapendwa tusaidiane!!!!

Carla

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
398
331
Je kuna degree course ya clearing and forwading??Na vipi kuhusu shipping management ina degree pia,kama zipo zinapatikana chuo gani
 
Nijuavyo mimi, taaluma yoyote ina elimu ya juu kwa maana ya degree, etc. Kama TZ hatuna basi nchi za wenzetu wanatoa. Hata hivyo wadau katika maeneo hayo watakuja kukujuza zaidi.
 
Back
Top Bottom