Pole sana mkuu.I hope utapata msaada,mi situmii kabisa nyembe natumia mashine najinyoa mwenyewe,niliona kila siku kukwangua ngozi na wembe inaweza kuleta matatizo mbele au vipele vikubwa.
kuna jamaa yangu zamani alikuwa anatumia dawa flani akipaka zinakuwa zinakatika zenyewe si kunyoa,sijui inaitwaje nadhani inaweza kukusaidia,ila hapo kwenye kuota ndevu fasta sijui