Wapendwa maombeni ushauri wenu

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,117
4,812
Poleni ma majukum

Siku za hivi karibuni yapata miezi mitatu hivi nyuma nimekua sina ashki na tendo la ndoa yani sisikii raha yoyote pale ninapofanya tendo la ndoa
Kabla ya kufanya tendo ninakua nina hamu kabisa ya kufanya lakini wakati wa tendo lenyewe sisikii raha yoyoye ile,

Nipeni ujuzi wenu nitumie vyakula gani hasa au nifanyeje ili kupata raha ya tendo la ndoa?

Je, hili poa laweza kuwa tatizo kubwa?

Jinsia yangu ni ME
 
Ndo iko ivo acha kutafuta ujinga.

Ndo iko ivo kwa wote, ukifanya mala kwa mala siku za mbele utamu unapungua...
 
Kapime tezi dume, ingawa kila mwanaume anayo kapime ili ujue tatizo maana ndy dalili zake
 
Poleni ma majukum

Siku za hivi karibuni yapata miezi mitatu hivi nyuma nimekua sina ashki na tendo la ndoa yani sisikii raha yoyote pale ninapofanya tendo la ndoa
Kabla ya kufanya tendo ninakua nina hamu kabisa ya kufanya lakini wakati wa tendo lenyewe sisikii raha yoyoye ile,

Nipeni ujuzi wenu nitumie vyakula gani hasa au nifanyeje ili kupata raha ya tendo la ndoa?

Je, hili poa laweza kuwa tatizo kubwa?

Jinsia yangu ni ME
Ukiona hivyo unakaribia kuwa choko wanaume tunat*mba Kila cku na hatuchoki acha unusu ushoga.
 
Poleni ma majukum

Siku za hivi karibuni yapata miezi mitatu hivi nyuma nimekua sina ashki na tendo la ndoa yani sisikii raha yoyote pale ninapofanya tendo la ndoa
Kabla ya kufanya tendo ninakua nina hamu kabisa ya kufanya lakini wakati wa tendo lenyewe sisikii raha yoyoye ile,

Nipeni ujuzi wenu nitumie vyakula gani hasa au nifanyeje ili kupata raha ya tendo la ndoa?

Je, hili poa laweza kuwa tatizo kubwa?

Jinsia yangu ni ME
Utakuwa unanyemelewa na mabadiliko ya kuwa ke
 
Back
Top Bottom