wali nazi maharageU
napwnda kula nini mkuu?
Mkuu nilipenda kufahamu kama kuna wengine wanaoonekana walugaluga kama mimi. My. Weekend was fantastic and now I'm back to normality.Subiri wadada waje uzi huu hauwahusu wanaume wapenda ugali. I hope you had a wonderful weekend.
unaishi tanzania apa apa au upo nchi za ugenini mana nikifuatiliaga post zako unaonekana kama upo nchi za ighaibuni sasa uko ugaibuni ugali unapataje...???Habari za J3 wapendwa
Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona mlugaluga.
Imebidi nipunguze ulaji wa ugali kutokana na issue za uzito wa mwili. Siku hizi ninakula ugali Jumamosi tu. Kuna wanawake wanaopenda kula ugali kama mimi?
Wanaume pia mnakaribishwa
Mkuu ninaishi Kwamtogole nimepanga chumba kimoja na kisebule. Ugali ninapenda unga wa Azam.unaishi tanzania apa apa au upo nchi za ugenini mana nikifuatiliaga post zako unaonekana kama upo nchi za ighaibuni sasa uko ugaibuni ugali unapataje...???
Ni tabia ya wanaume kukwepa wali.Tunafanana sana, mimi naweza kula ugali hata mwezi mzima, yaani wali nakulaga pale inapokua imeshindikana kabisa.