jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,974
- 1,401
Ni mda sasa tangu ligi kuu ya Barclays Premier Legue ianze..kinachonishangaza na kunisikitisha ni pindi mechi inavyochezwa kila kitu Tanzania kinasimama vijana wa vijiweni ndiyo usiseme..kwa maana nyingine nguvu ya kujenga uchumi inasimama kisa mpira..hata kama mtu alikuwa na appointment ya kumsaidia kujikwamua kimaisha yuko tayari kukosa lakini mpira aangalie kwenye T.v,Nimeweza kupita katika nchi tofauti lakini sijaona shida kubwa inaonekana kwa sasa Tanzania.Hata wapenzi wampira katika bara la ulaya wako na ratiba kwanza ya kutafuta pesa then mpira baadaye na anakuwa najua ratiba yake ikoje kwanza kama ataweza kuangalia mpira au la!.Premier legue kwa sasa inasababisha hadi ndoa kuwa kwenye matatizo mwanaume akiondoka ndiyo hivyo tena..
Sasa kwa maisha haya tunayoishi Tanzania tutaacha kupigana mizinga kweli??
Official Site of the Premier League - Barclays Premier League News, Fixtures and Results
Sasa kwa maisha haya tunayoishi Tanzania tutaacha kupigana mizinga kweli??
Official Site of the Premier League - Barclays Premier League News, Fixtures and Results