Wapenda soccer mnisamehe kwa kusema hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapenda soccer mnisamehe kwa kusema hili

Discussion in 'Sports' started by jamii01, Oct 23, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 310
  Trophy Points: 180
  Ni mda sasa tangu ligi kuu ya Barclays Premier Legue ianze..kinachonishangaza na kunisikitisha ni pindi mechi inavyochezwa kila kitu Tanzania kinasimama vijana wa vijiweni ndiyo usiseme..kwa maana nyingine nguvu ya kujenga uchumi inasimama kisa mpira..hata kama mtu alikuwa na appointment ya kumsaidia kujikwamua kimaisha yuko tayari kukosa lakini mpira aangalie kwenye T.v,Nimeweza kupita katika nchi tofauti lakini sijaona shida kubwa inaonekana kwa sasa Tanzania.Hata wapenzi wampira katika bara la ulaya wako na ratiba kwanza ya kutafuta pesa then mpira baadaye na anakuwa najua ratiba yake ikoje kwanza kama ataweza kuangalia mpira au la!.Premier legue kwa sasa inasababisha hadi ndoa kuwa kwenye matatizo mwanaume akiondoka ndiyo hivyo tena..

  Sasa kwa maisha haya tunayoishi Tanzania tutaacha kupigana mizinga kweli??

  Official Site of the Premier League - Barclays Premier League News, Fixtures and Results
   
 2. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,664
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  ebana .. upuuzi gani huu umeandika.. wewe ulitaka tufanyaje kama kuna tofauti ya masaa.. mipira dakika 90 tu! & its only on weekends nini mbaya baana
   
 3. R

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 13,974
  Likes Received: 2,254
  Trophy Points: 280
  Nahisi ulikuwa na lingine zaidi ya hili ukizingatia leo yenyewe hii j2 ya barclays basi ucpime

  kama vipi funguka kaka
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  upupu mtupu
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,637
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  title yako inakulinda haya mtafutaji..
   
 6. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hujajua ni kwanin ligi ya wenzetu mech zinachezwa weekend ni siku ya mapumziko ni kurelax,kupumzisha akili, kujumuika na different pple kula wkend. Unaweza ukafanya kaz j3-jpili lkn still upepo ukakuendea vibaya
   
 7. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,715
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hupaswi kusamehewa kwa upupu huu, watanzania wangapi uliwahoji wakakwambia kuangalia mpira haikuwa kwenye ratiba zao, hata hivyo w/end unataka wakapumzikie wapi? au wewe ni shabiki wa MancheSITA unataka kupoza hasira zako, pole sana.
   
 8. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,174
  Likes Received: 727
  Trophy Points: 280
  You need the Holy Spirit.....
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,806
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  dude you need some serious help!!!

  seriously!!!
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160

  ..ahahahahaha...e bana ee si alishaomba msamaha kwenye title?...hahahaha!
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,806
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hahahah, swahiba, sijamhukumu nimemshauri baada ya kupokea radhi yake!!!

  LOL... sijui amefanya analysis kwa sample ipi aisee
   
 12. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,643
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145

  Nionavyo mimi your main objective umetaka utwambie kuwa umetembea nchi nyingi(sijui ngapi?)
  But this isn't uor concern, hiyo inakuhusu wewe na mme/mke wako. OK, wewe ni mtafutaji, vipi unalinaga na Bill Gates.
  Hebu ondoka hapa usituletee uchuro wako.

  Kama vipi kakojoe ukalale.
   
Loading...