Wapenda nyimbo za Jamuhuri ya Congo

mm n mpenz wa.nyimbo za congo hususan Franco
historia ya Franco IPO kwenye uzi mmoja Nita ku tag
Franco alokuwa na nyimbo 1500, na albamu 100
nybo zake n
1_fabriss
2_colonel bangala
3_mAkambo ezalo
4_lisolo ya nzambe na adamu
5_Mario
6_mamuu
7_naloba nini
8_azda
9_azron
10 toyeba yo
 
Kuna nyimbo ya madilu na Franco hiyo nyimbo ni non stop yaani imeunganishwa na wameziunganisha na nyimbo za zamani ila kwa mtindo ya midundo ya sasa ya haraka haraka na sio rumba kama walivyozoea,solo limetawala sana humo,anaeijua anipe jina...kaunganisha pesa position na imeimbwa mstali tu na ikaendelea.


Kuna kipande anaimba.

Ekama ***** tobota ya banae,pasi ya balalangai yakosibote,pazia balalangai yakobonita,yakobonga kombo nabase konabanae eloko nakote talangasenamibeto...nimejaribu kunukuu.
 
Naomba mwenye nyimbo za Loketo ama anisaidie jina la album mitaa ya kwetu ilipigwa sana miaka ya 90's kipindi hicho nilikuwa mdogo nakumbuka tu baadhi ya maneno kwenye chorus inaendana na kusema hivi "simba yeya simba yeyaa". Hata ukinisaidia jina la album ntashukuru sana
 
Kibao matata kabisa cha Stino Mubi. Wimbo ni Romeo et Juliet.
Nimeangalia hii clip nikakumbuka mbali sana.

.....vraiment nga nalingi yo mingi, pesa nga ya yo motemaaaa....!!

Jesca! Jesca! Jesca! Uko wapi jesca! Nga naleli yo!

 
Back
Top Bottom