C chipuz New Member Nov 10, 2010 2 0 Nov 11, 2010 #1 Mimi ni msomaji mzuri wa post mbalimbali ambazo wana JF wamekuwa wakizichangia na huwa navutiwa sana na michango ya members. Tafadhali naomba mnipokee ili nami niweze kuchangia kwa manufaa ya maendeleo ya nchi yetu. Ahsanteni
Mimi ni msomaji mzuri wa post mbalimbali ambazo wana JF wamekuwa wakizichangia na huwa navutiwa sana na michango ya members. Tafadhali naomba mnipokee ili nami niweze kuchangia kwa manufaa ya maendeleo ya nchi yetu. Ahsanteni
Gerad2008 JF-Expert Member Jun 9, 2009 583 287 Nov 11, 2010 #2 Karibu ukae jamvini tuendelee na mazungumzo mkuu. Usitukane wala kukurupuka kwani hawachelewi kukuzomea humu
Karibu ukae jamvini tuendelee na mazungumzo mkuu. Usitukane wala kukurupuka kwani hawachelewi kukuzomea humu